Ngorongoro sio sehemu ya makazi ya binadamu bali ni hifadhi ya wanyamapori

Naam
 
Hifadhi ipo ajiili ya mwanadamu...siyo mwanadamu ajili ya hifadhi hao wanao talii ni wanadamu wazunguweupe pee..ila weusi watoke ajili ya rangi yao nyeusi uchafu. Huo ni ubaguzi mbaya kuliko wa kuuza watumwa. Ndo mjuwe hivi ivi ndo babu zenu waliuzwaga ili wapate hela ya kula
.. Na leo masai wanauzwa nchini mwao ili wakubwa wale. Ni aibu sana huko vizazi vya mbele. Nasema tutapigana tu...au muwaue wote tujue moja....masai msikubali mkishindwa tuite sisi Mara mkoa
..
Mugumu hawagusi hata kutania tu
..moto utawaka usiozimika.
 
Naomba nikurekebishe kidogo.Wamasai hawakutokea sehemu ingine ndio wakavamia maeneo ya hifadhi ni kwamba wako kwenye crater miaka mamia kwa mamia iliyopita.Suala la wao kuongezeka idadi hiyo ni issue ingine.Pia nikuambie kitu suala kuwa wanavamiwa na wanyama na kufa sio kwa asilimia kubwa kiasi hicho huwa Simba wanawaogopa sana wamasai
 
Tatizo si kuvamiwa tu ndugu, tatizo kubwa ni kuwa kumekuwa na idadi kubwa ya watu ambayo ni destructive kwa mazingira, pili hiyo sehemu pia kutokana na title yake ya kuwa Biosphere reserve inakataza uharibifu huo. Walio-gazette hilo eneo kama ni Multiple Land use walikosea sana, au hawaku-consider ongezeko la watu, ni suala la kusikitisha kuona watu wakihamishwa lakini hapo kuanzia Crater nenda hadi Empakai kuna namba kubwa ya watu na mifugo kwa hiyo hata suala la Livestock-Wildlife Interaction and disease transmission ni kubwa sana. Ngorongoro imeshashindwa kubeba idadi kubwa ya wanyama, mifugo na watu (Mimi siyo mwanasiasa, ni mtaalam wa mazingira). Kuna kitu kinaitwa "culling" kwenye uhifadhi na nia ni kupunguza idadi ya wanyama iendane na mazingira, tunafanya kila mahali, kuanzia Selous na sehemu zingine ambazo hazina "corridor" ya wanyama kutoka. Sasa Ngorongoro kumejaa mifugo ambao wamechukua nafasi ya wanyama...TUFANYAJE? Tufanye culling? Ndugu shida ya Ngorongoro ni kubwa kuliko wanasiasa wanavyofanya, wasioelewa kama akina Lissu na Lema wanapiga midomo, lakini suala si kuwaonea wamaasai hata kidogo, after all tunajua Wamaasai ni wahifadhi wazuri lakini tatizo ni "Carrying capacity' ya Ngorongoro ni ndogo na haitoshelezi, wanyama, mifugo na watu wamebanana.
Tatizo ni kuwa serikali zetu zilikuwa haziwajali Wamaasai, wangewajengea uwezo, wapeleke mahali pazuri, wapewe elimu nzuri na waache kutegemea mifugo tu, kuna nafasi nyingi na serikali ingetumia angalau 10% ya mapato ya watalii kusaidia jamii zinazoishi karibu na hifadhi, wananchi wetu wangenufaika na hizo conflict zisingekuwepo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…