Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,431
Trump hakuwa anamtaka. Trump is a racist na hawezi kubali Muafrika achukue usukani wa WTO. Trump ni white supremacist na hata kwake ni heri mtu kutoka Asia achukue hatamu kushinda mtu mweusi. Hata Trump alikataa kuchapisha picha ya Mwanamke mweusi kwenye pesa ya Marekani ilhali poll ilifanywa ya kuuliza mwanamke yupi anastahili kuwekwa kwenye noti na Wamarekani wengi wakamchagua Harriet Tubman.Kwani ulikuwa unadhani hataipata? Uliamini propaganda ya magazeti ya Kenya?
Lakini Biden hana chuki kali sana dhidi ya watu weusi. Amemchagua vice president mwenye ana damu ya watu weusi. Amemchagua defence secretary Mweusi. So Biden ndio ameambia huyo Mgombea kutoka S. Korea kwamba ajitoe. Nadhani Trump ndiye alimlazimisha huyo mama kubaki kwenye kinyanganyiro, pengine mama mwenyewe hakuwa anataka kubaki kwenye mechi.