Ngozi ya miguu yangu ni nyororo kuliko baadhi ya nyuso za watu

Ngozi ya miguu yangu ni nyororo kuliko baadhi ya nyuso za watu

FB_IMG_17169972372418092.jpg
Tunasubiria utaje jinsia yako
 
Mkuu kuosha kiungo kimoja kimoja unaoshaje.
Hebu anza kwa mtiririko na namna unaosha.

Na miguu kusugua unaingia na kigoda bafuni au inakuaje?
Yani kile kitendo cha kuinama bafuni tu huwa ni kero sasa unasuguaje miguu kila siku😀😀😀
Hii imenikumbusha bibi angu, alikua akiingia bafuni si chini ya masaa matatu anaoga tu....anakaa chini anaanza kujisugua hadi kucha😁.
 
Mimi ni kijana nayependa sana miguu yangu, Haya mapenzi yameanza zamani wakati nasoma shule ya msingi kipindi nilipoanza kuoga mwenyewe. Nishagombana sana na ndugu zangu wa damu na mama yangu mzazi pale ilipofika zamu yangu kuingia bafuni eti kisa natumia muda mwingi.

Mimi oga yangu naosha kiungo kimoja kimoja, napitia mwili mzima nikiwa natoka nasikiliza kwa umakini mlio wa ndala zangu za Umoja "ngaaatu ngaaatu" nisiposikia huo mlio basi siku inakuwa imeharibika sitaweza kula ata ungekuwa wali maharage.

Nasumbuliwa na majinamizi ya miguu michafu niliyopata kuiona nikiwa ndotoni, mpaka leo kijana mimi miaka AroBainI sijampata Sindelelah wangu binti mwenye miguu misafi iliyotunzwa kama yangu. Mahusiano mengi yameisha kutokana mamanzi kuwa na sura mpya lakini miguu ya zamani.

Mimi nikitoka kuoga lazima nipakae mafuta miguu yangu, kila wiki lazima nikate kucha vidole vyote vya mguuni.
Anti mambo
 
Back
Top Bottom