Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 6,682
- 11,461
Tishazika shababi mmoja hapo Mkuu.ππππππππ Hii maana yake nini mkuu
πππππππ Ila humu ndani humu..Tishazika shababi mmoja hapo Mkuu.
Hii imenikumbusha bibi angu, alikua akiingia bafuni si chini ya masaa matatu anaoga tu....anakaa chini anaanza kujisugua hadi kuchaπ.Mkuu kuosha kiungo kimoja kimoja unaoshaje.
Hebu anza kwa mtiririko na namna unaosha.
Na miguu kusugua unaingia na kigoda bafuni au inakuaje?
Yani kile kitendo cha kuinama bafuni tu huwa ni kero sasa unasuguaje miguu kila sikuπππ
Noma sana, mjuba anaringishia miguu, kasahau tu kusema ana miguu ya bia.πππππππ Ila humu ndani humu..
Aiseee daah
We humu mbona giza washa tochi ili handaki hatari shika bunduki vizuri......(,Movie) dronedrake
Anti mamboMimi ni kijana nayependa sana miguu yangu, Haya mapenzi yameanza zamani wakati nasoma shule ya msingi kipindi nilipoanza kuoga mwenyewe. Nishagombana sana na ndugu zangu wa damu na mama yangu mzazi pale ilipofika zamu yangu kuingia bafuni eti kisa natumia muda mwingi.
Mimi oga yangu naosha kiungo kimoja kimoja, napitia mwili mzima nikiwa natoka nasikiliza kwa umakini mlio wa ndala zangu za Umoja "ngaaatu ngaaatu" nisiposikia huo mlio basi siku inakuwa imeharibika sitaweza kula ata ungekuwa wali maharage.
Nasumbuliwa na majinamizi ya miguu michafu niliyopata kuiona nikiwa ndotoni, mpaka leo kijana mimi miaka AroBainI sijampata Sindelelah wangu binti mwenye miguu misafi iliyotunzwa kama yangu. Mahusiano mengi yameisha kutokana mamanzi kuwa na sura mpya lakini miguu ya zamani.
Mimi nikitoka kuoga lazima nipakae mafuta miguu yangu, kila wiki lazima nikate kucha vidole vyote vya mguuni.
Soma kwanza πππWe humu mbona giza washa tochi ili handaki hatari shika bunduki vizuri......(,Movie) dronedrake
Itakuwa anaji dronedrakeYaani nisijue tu kama wewe wa kiumeππππππ
Staki kujua kabisa ππππ
Hiyo ndo point ilobeba uzi, mambo ya miguu laini na kuoga sana ni zuga tuπ€£Nilipofika hapo kwenye sindelela ndo nikagundua hapa tumepigwa