Naam naam,
Daaah nimecheka sanaNaam naam,
Point ya sindelela izingatiwe sana Mkuu.
Oooo kumbe ndo hii njemba ππππIla mada za hiki kiumbe π
Wasanii wa kiume wenye macho ya kuvutia Tanzania
Macho yanavutia sana. Kupitia macho waweza kuchungulia roho ya mtu, baadhi ya vigezo vinavyofanya macho kuwa yenye mvuto ni; kuwa na umbo la Uduara wenye uwiano, kuchomoza nje ya sura, na kuchukua nafasi zaidi ya asilimia hamsini ya Sura. Nimeweza kutazama kazi za sanaa za uimbaji na kubaini...www.jamiiforums.com
Yaaan mtu ukileta mambo ya kingese unakula BAN miaka sita shubamiti πππWashukuru Mungu proton pump dronedrake Poor Brain sio mods tungenyoosha watu balaa tunaweza ichoma hata jamii forum
Hii nchi ina wazee wa hovyo sana, na Umri huo Chalamula kasema kama huna pesa tulia tu yeye anahangaika na Miguu laini.Daaah nimecheka sana
Watu badala ya kuandika nyuzi zenye akili wanaandika upuuziYaaan mtu ukileta mambo ya kingese unakula BAN miaka sita shubamiti πππ
Sio ndugu yangu....waethiopia hatupo hvoMpaji Mungu
Njoo uone mambo anayofanya ndugu yako huku πππ
Ndo huyo πOooo kumbe ndo hii njemba ππππ
Ati Shubamiti ahahah...Yaaan mtu ukileta mambo ya kingese unakula BAN miaka sita shubamiti πππ
Inalika hiinyamnyam hii...
Sukuuummma ndani...Inalika hii
Nimemwita DM nimlambe kisigino, nitaleta ushuhudu au hata yeye mwenyew ataleta maana hana aibu.Ndo huyo π
Heee!ππNimemwita DM nimlambe kisigino, nitaleta ushuhudu au hata yeye mwenyew ataleta maana hana aibu.
kwenye watu kuna mambo, so tujadili miguu yako?? Are you really serious?? Au wewe ni wale upinde wa mvuaMimi ni kijana nayependa sana miguu yangu, Haya mapenzi yameanza zamani wakati nasoma shule ya msingi kipindi nilipoanza kuoga mwenyewe. Nishagombana sana na ndugu zangu wa damu na mama yangu mzazi pale ilipofika zamu yangu kuingia bafuni eti kisa natumia muda mwingi.
Mimi oga yangu naosha kiungo kimoja kimoja, napitia mwili mzima nikiwa natoka nasikiliza kwa umakini mlio wa ndala zangu za Umoja "ngaaatu ngaaatu" nisiposikia huo mlio basi siku inakuwa imeharibika sitaweza kula ata ungekuwa wali maharage.
Nasumbuliwa na majinamizi ya miguu michafu niliyopata kuiona nikiwa ndotoni, mpaka leo kijana mimi miaka AroBainI sijampata Sindelelah wangu binti mwenye miguu misafi iliyotunzwa kama yangu. Mahusiano mengi yameisha kutokana mamanzi kuwa na sura mpya lakini miguu ya zamani.
Mimi nikitoka kuoga lazima nipakae mafuta miguu yangu, kila wiki lazima nikate kucha vidole vyote vya mguuni.