Ngozi za wanyama zinafaa kama chakula cha Kambale?

Mayu

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2010
Posts
7,621
Reaction score
12,505
Wakuu nina mabwawa mawili ya samaki aina ya kambale nimeweka samaki 100 kila bwawa.

Gharama ya chakula imekuwa changamoto, nimepewa uzoefu na wengine kwamba ngozi za wanyama ni chakula kizuri na nafuu kwa kambale.

Kwa bahati mbaya wameshindwa kunipa maelezo ya kutosha nikaona nije kuuliza kwa wadau jukwaani.

Nawasilisha
 
Hakuna mwenye kujua kuhusu hili wakuu?
 
Weka na Sato wachache wakusaidie kulisha kambale,ukiitaji vifaranga nicheki
 
Mimi huwa nanunua ngozi naikata vipande vidogodogo na kuichemsha mpaka iive, then ikipoa nawatupia samaki.
Asante sana Mkuu je ikiwa na manyoya au unayatoa kwanza kabla ya kuikata vipande vipande na unatumia muda gani kuichemsha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…