Mayu
JF-Expert Member
- May 11, 2010
- 7,621
- 12,505
Wakuu nina mabwawa mawili ya samaki aina ya kambale nimeweka samaki 100 kila bwawa.
Gharama ya chakula imekuwa changamoto, nimepewa uzoefu na wengine kwamba ngozi za wanyama ni chakula kizuri na nafuu kwa kambale.
Kwa bahati mbaya wameshindwa kunipa maelezo ya kutosha nikaona nije kuuliza kwa wadau jukwaani.
Nawasilisha