Ngozi za wanyama zinafaa kama chakula cha Kambale?

Pamoja sana mkuu
Nashukuru sana maana hapo mwanzo kuna Mdau alikua analisha samaki wake akanitisha mpaka niwe na milioni 7 nitengeneze mitambo na mambo mengi mpaka nikashindwa kushangaa aise kumbe ni kukatakata,kuchemsha kwa masaa mawili alafu unalisha samaki wako.
 
Hahah ndo hivyo mkuu. Kwa hiyo milion 7 ni kama unanunua machine za kuandaa kiwanda Cha vyakula vya samaki
 
Hahahaha kabisa Mkuu hapo unapata machine nzuri alafu jamaa alivyoniongopea ili nikatee tamaa mwishoni ananiambia niwe mteja wake yani niwe nanunua chakula kutoka kwake duuuu kweli bongo noma sana Ndugu.
 
Hahah kazi rahisi tu mkuu
 
Hahahaha kabisa Mkuu hapo unapata machine nzuri alafu jamaa alivyoniongopea ili nikatee tamaa mwishoni ananiambia niwe mteja wake yani niwe nanunua chakula kutoka kwake duuuu kweli bongo noma sana Ndugu.
Asikudanganye mtu ukiamua kuingia kwemye samaki. Wafugaji kibao wanatengeneza vyakula wenyewe.
 
Ngozi ya Ng'ombe ni kwa ajili ya kuwapa Kambale tu au hata Sato/Sangara unaweza ukawapa? naomba jibu Mkuu nami nielimike
 
Mimi nataka niwape kambale Mkuu sijui kwa sato kama inawezekana.
 
Back
Top Bottom