KIKAZI
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 1,370
- 1,511
kwahiyo Mkuu nikiwapa ngozi hakuna uitaji wa kuwapa chakula chengine mfano uduvi,pelletMiezi miwili, sababu ngozi inakuwa laini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwahiyo Mkuu nikiwapa ngozi hakuna uitaji wa kuwapa chakula chengine mfano uduvi,pelletMiezi miwili, sababu ngozi inakuwa laini.
Ni vizuri kuwapa chakula kingine pia, japo kwa kiasi kidogokwahiyo Mkuu nikiwapa ngozi hakuna uitaji wa kuwapa chakula chengine mfano uduvi,pellet
Asante sana Ndugu kwa ufafanuzi mzuri nimepata mwanga na maarifa.Ni vizuri kuwapa chakula kingine pia, japo kwa kiasi kidogo
Pamoja sana mkuuAsante sana Ndugu kwa ufafanuzi mzuri nimepata mwanga na maarifa.
Nashukuru sana maana hapo mwanzo kuna Mdau alikua analisha samaki wake akanitisha mpaka niwe na milioni 7 nitengeneze mitambo na mambo mengi mpaka nikashindwa kushangaa aise kumbe ni kukatakata,kuchemsha kwa masaa mawili alafu unalisha samaki wako.Pamoja sana mkuu
Hahah ndo hivyo mkuu. Kwa hiyo milion 7 ni kama unanunua machine za kuandaa kiwanda Cha vyakula vya samakiNashukuru sana maana hapo mwanzo kuna Mdau alikua analisha samaki wake akanitisha mpaka niwe na milioni 7 nitengeneze mitambo na mambo mengi mpaka nikashindwa kushangaa aise kumbe ni kukatakata,kuchemsha kwa masaa mawili alafu unalisha samaki wako.
Hahahaha kabisa Mkuu hapo unapata machine nzuri alafu jamaa alivyoniongopea ili nikatee tamaa mwishoni ananiambia niwe mteja wake yani niwe nanunua chakula kutoka kwake duuuu kweli bongo noma sana Ndugu.Hahah ndo hivyo mkuu. Kwa hiyo milion 7 ni kama unanunua machine za kuandaa kiwanda Cha vyakula vya samaki
Hahah kazi rahisi tu mkuuHahahaha kabisa Mkuu hapo unapata machine nzuri alafu jamaa alivyoniongopea ili nikatee tamaa mwishoni ananiambia niwe mteja wake yani niwe nanunua chakula kutoka kwake duuuu kweli bongo noma sana Ndugu.
Asikudanganye mtu ukiamua kuingia kwemye samaki. Wafugaji kibao wanatengeneza vyakula wenyewe.Hahahaha kabisa Mkuu hapo unapata machine nzuri alafu jamaa alivyoniongopea ili nikatee tamaa mwishoni ananiambia niwe mteja wake yani niwe nanunua chakula kutoka kwake duuuu kweli bongo noma sana Ndugu.
Hahahha Mkuu kweli mtandao una nguvu kubwa leo nimepata elimu bila ada aise nakupongeza sana Ndugu.Hahah kazi rahisi tu mkuu
Kweli kabisa Mkuu sema maarifa ndiyo kila kitu na wachache wanaojua wamekua wachoyo kuwapa wenzao maarifa .Asikudanganye mtu ukiamua kuingia kwemye samaki. Wafugaji kibao wanatengeneza vyakula wenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nataka niwape kambale Mkuu sijui kwa sato kama inawezekana.Ngozi ya Ng'ombe ni kwa ajili ya kuwapa Kambale tu au hata Sato/Sangara unaweza ukawapa? naomba jibu Mkuu nami nielimike
kwahiyo Mkuu nikiwapa ngozi hakuna uitaji wa kuwapa chakula chengine mfano uduvi,pellet
Samaki unawapa maji ya kunywa????Mkuu ngozi ni ngumu hakikisha umewapa samaki wako maji ya kunywa masafi
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣
Usisahau na mirija.
🤣🤣Mkuu ngozi ni ngumu hakikisha umewapa samaki wako maji ya kunywa masafi
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupe maujanja hapa.So far naona kambare wangu wanaendelea vizuri. Nawalisha ngozi za ngo'mbe kwa sana na dagaa mara moja moja sana
Imeweka uzio kuna kenge wa kutoshaView attachment 1392698