Nguli la mitandao ya kijamii ladai Wakenya wanamshobokea

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Nguli la mitandao ya kijamii Afrika na balozi wa salama kondom Tanzania ametua jijini Nairobi.

Baada ya kufika tu Nairobi ameshangazwa sana na tabia ya wakenya ya kumshobokea huku wengine wakimuuliza maswali ya kiwack eti "kwanini mtu mzima kama yeye anavaa minyororo shingoni".

Baada ya kukasirishwa na maswali hayo, balozi huyo alitumia ukurasa wake wa instagram na kuweka picha na kuandika maneno haya

.

https://www.instagram.com/lemutuz_nation/
lemutuz_nation Downtown Nairobi Shopping kwanza U know hahaha and Relaxing back at the Poolside of where I am staying at the Nairobi Intercontinental Hotel ...I mean to me this is what life is all about...kufanya kazi kwa Nguvu and then ku enjoy your hard work and kuweka AKIBA KIDOGO YA MBELE YA SAFARI YA MAISHA... U know and I lov it! ....halafu nimeshangaa WaKenya kumbe nao ni Washobokeaji wanashangaa sana mnyororo shingoni hahaha I am just Super Humbled to be here U know! - le Mutuz
 
Anachonifurahisha jamaa hata umponde vipi hakasiriki hata tone, ndo kwanza anacheka, Sometimes anafurahisha sidhani kama anawezakuwa na stress hata kidogo.....

hahaha I'm super humbled u know! Life is short tumuache ale Le batazzz le akili kubwazz
 
Weee...wapiii huwa anakuja juu vibaya mno.
 
Hivi huyu jamaa suruali zilimkosea nini?
Anachonifurahisha jamaa hata umponde vipi hakasiriki hata tone, ndo kwanza anacheka, Sometimes anafurahisha sidhani kama anawezakuwa na stress hata kidogo.....

hahaha I'm super humbled u know! Life is short tumuache ale Le batazzz le akili kubwazz
Le Mutuz hana stress na ndio maana ananenepeana hovyo!!!
Hahahahahaaa uwiiiiiiii nimecheka sana wajameni.
Khaaaaa
 
Anachonifurahisha jamaa hata umponde vipi hakasiriki hata tone, ndo kwanza anacheka, Sometimes anafurahisha sidhani kama anawezakuwa na stress hata kidogo.....

hahaha I'm super humbled u know! Life is short tumuache ale Le batazzz le akili kubwazz
Huwa ana kasirika kabisa sema kukasrika kwake ni tofauti na wengine na hata kwenye maandishi huonesha!
 
Anachonifurahisha jamaa hata umponde vipi hakasiriki hata tone, ndo kwanza anacheka, Sometimes anafurahisha sidhani kama anawezakuwa na stress hata kidogo.....

hahaha I'm super humbled u know! Life is short tumuache ale Le batazzz le akili kubwazz
Weeeee...thubutu, anakasirika sana tu huyo, keshaniblock IG accounts mbili sasa.
 
Anachonifurahisha jamaa hata umponde vipi hakasiriki hata tone, ndo kwanza anacheka, Sometimes anafurahisha sidhani kama anawezakuwa na stress hata kidogo.....

hahaha I'm super humbled u know! Life is short tumuache ale Le batazzz le akili kubwazz
Hivi una muona mzima huyu?
 
Sio kwa umri alio nao na heshima ya familia yake asijifanye kikaragosi cha kuchekesha jamii,ange jistahi tu kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…