Nguli la mitandao ya kijamii ladai Wakenya wanamshobokea

Ana sifa zote za kuwa msemaji wa chama cha kijani
 
mungu amsamehe tu huyu babu hajui atendalo hapo anajiona bado mtoto na anaiga style ya mavazi ya mwanawe Agapeo mwenye umri wa 18yrs dah hadi huruma
 
Hivi hili jitu,lina shughuli nyingne ya kufanya au ni hii ya kupiga picha tu?
 
Huyu mtu mwenda wazimu
Eti hao babes anao wakuwadia walimwambia akivaa pensi nyanya anaonekana mtoto handsome zaidi na yeye anavyopenda utoto basi ushauri aliukubali mara moja haha na besides huo mtumbo na kiuno kama pepe kale anapata tabu kupata suruali size yake labda ashoneshe kwa sheria ngowi ambazo zitakuwa too expensive for him.
 
Huyu mtu nikiona maandishi yake huwa nacheka tu. Kama chizi hivi yani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…