Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Le akili kubwaaaz salute W. J Malecela
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa huwa mna follow wa nini? ....Mtu humpendi lakini bado mnamfatafata hii inaonesha mnashughulika na Uwepo wake...Weeeee...thubutu, anakasirika sana tu huyo, keshaniblock IG accounts mbili sasa.
Anaishi kwao.Le Mutuz hana stress na ndio maana ananenepeana hovyo!!!
Nati moja imelegea.Hivi una muona mzima huyu?
Huyu mtu mwenda wazimuHivi huyu jamaa suruali zilimkosea nini?
Eti hao babes anao wakuwadia walimwambia akivaa pensi nyanya anaonekana mtoto handsome zaidi na yeye anavyopenda utoto basi ushauri aliukubali mara moja haha na besides huo mtumbo na kiuno kama pepe kale anapata tabu kupata suruali size yake labda ashoneshe kwa sheria ngowi ambazo zitakuwa too expensive for him.Huyu mtu mwenda wazimu
Hivi huyu jamaa suruali zilimkosea nini?