Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikuwa naitafuta hii comment. Ningeshangaa kama isingekuwepoNza...
Singea Mbano ndiye huyo Abdulraufu.
Mkomanile ni Khadija Mkomanile lakini kabla ya kunyongwa akabatizwa akapewa jina Yasintha.
kaka mkubwa M Said, hivyo kimsingi Khadija alikubali kubadili dini kabla hajauawa na wajerumani? Hapo tuna mkristo Yasinta,angeweza kukataa na kubaki Khadija au Hawa watu walikuwa hawaelewi tofauti za haya mambo tunayoyashadidia Leo.Nza...
Singea Mbano ndiye huyo Abdulraufu.
Mkomanile ni Khadija Mkomanile lakini kabla ya kunyongwa akabatizwa akapewa jina Yasintha.
Tutake radhi. hakuna kabila la wambulu. Mbulu ni eneo mojawapo tu wanakoishi Wairaqw. Sema WAIRAQW. Ukisema WAMBULU unawatenga wale ndg zetu wengine wanaoishi Wilaya za Babati, Hanang'w, Karatu na kwingeneko. Kama inamaaisha the cushites waliopo Tanzania sema Wairaqw na ndugu zetu Wafyomi, Waburunge na Wambugu. Wawa wote ni Wairaqw ambao ni Cushites.Wagogo, Wahehe, Wasukuma, Wanyamwezi, Wanyakyusa, Wanyiramba, Wajita, na makabila yote ya Bantustan, Wamasai, Wambulu, Warangi, Wachagga, Wanyaturu, Wahaya, Wajaluo, makabila karibu yote wa mipakani ni watu wa kuja!, Zanzibar ndio usiseme, wenyeji ni Wakwezi na Wahadimu, ambao sasa hawapo!.
Ila baada ya uhuru, watu wote waliolala ndani ya Tanganyika, wamekuwa Watanzania.
P
Asante sana kunirekebisha, yaani Wakushi, Nilotic na semi Nilotic ni watu wa kuja.Tutake radhi. hakuna kabila la wambulu. Mbulu ni eneo mojawapo tu wanakoishi Wairaqw. Sema WAIRAQW. Ukisema WAMBULU unawatenga wale ndg zetu wengine wanaoishi Wilaya za Babati, Hanang'w, Karatu na kwingeneko. Kama inamaaisha the cushites waliopo Tanzania sema Wairaqw na ndugu zetu Wafyomi, Waburunge na Wambugu. Wawa wote ni Wairaqw ambao ni Cushites.
Mkaza...Nilikuwa naitafuta hii comment. Ningeshangaa kama isingekuwepo
James...Historia kama hii inabidi ifumdishwe mashuleni
Labda kwasababu Mkomanile ni jina la mababu zake wakati hilo jingine ni jina la Wakoloni.Mkaza...
Mimi kinachonishangaza ni kwa nini wanamtambulisha kwa jina moja Mkomanile?
Kwa nini hawaandiki "Khadija Mkomanile?"
Magnifico,Labda kwasababu Mkomanile ni jina la mababu zake wakati hilo jingine ni jina la Wakoloni.
Una hoja aiseeeeee........Asante sana kwa historia hii, kiukweli Wangoni ni mashujaa na majasiri sana ila asili yao sio Watanzania, ni jamii ya kabila la Wazulu kutoka South Africa, wakiongozwa na Zongendamba ndio wakatua Songea na kulowea!, walikuwa ni watu wakatili sana!, waliwateka wenyeji na kuwafanya watumwa kwa kuwauza, huku wakijitwalia mabinti zao kuwafanya wake zao!. Historia haisemi Wangoni hawa waliwafanya nini wenyeji hadi Songea kugeuka ya Wangoni, kama wale Waarabu wa Oman walivyoitwaa Zanzibar na kugeuka ni yao, wakati hawa ni watu wa kuja tuu!. Tupeni na historia ya wenyeji tusiishie kwenye wageni wakuja tuu. Hata Zanzibar, huwezi tena kusikia historia ya wenyeji, na mambo sasa ni bam bam, Mwarabu wa Oman sasa sio Zanzibar tuu..
P
Kabla ya ukoloni hakukuwa na hii mipaka iliyotugawa.....hivyo kuwaita wengine wa kuja ni makosa.Wagogo, Wahehe, Wasukuma, Wanyamwezi, Wanyakyusa, Wanyiramba, Wajita, na makabila yote ya Bantustan, Wamasai, Wambulu, Warangi, Wachagga, Wanyaturu, Wahaya, Wajaluo, makabila karibu yote wa mipakani ni watu wa kuja!, Zanzibar ndio usiseme, wenyeji ni Wakwezi na Wahadimu, ambao sasa hawapo!.
Ila baada ya uhuru, watu wote waliolala ndani ya Tanganyika, wamekuwa Watanzania.
P
Mi nimependa zaidi walivyomtambulisha kwa jina la Mkomanile kwa sababu alivyobatizwa akawa na jina jipya kwahiyo katika taarifa yoyote itabidi aandikwe kwa jina jipya ambalo ni Yasintha ambalo halina uhalisia wowote na akitambulishwa kwa jina la Hadija nalo halina mantiki yoyote kwa sababu yeye jina lake halisi ni Yasintha.Mkaza...
Mimi kinachonishangaza ni kwa nini wanamtambulisha kwa jina moja Mkomanile?
Kwa nini hawaandiki "Khadija Mkomanile?"
Hapo ndio walichemka; bila uwepo wa mjerumani jamii nyingine zingepata tabu sana kwa mahayawani hawa wa kuja.Ushujaa kuwafanya Waafrika wenzake watumwa? Ana tofauti gani na Wakoloni?
Wenywe wa Zanzibar wao wenyewe kwa ridhaa yao ndio walioenda Oman kuomba msaada wa waarabu kumuondoa mreno visiwani humo.Asante sana kwa historia hii, kiukweli Wangoni ni mashujaa na majasiri sana ila asili yao sio Watanzania, ni jamii ya kabila la Wazulu kutoka South Africa, wakiongozwa na Zongendamba ndio wakatua Songea na kulowea!, walikuwa ni watu wakatili sana!, waliwateka wenyeji na kuwafanya watumwa kwa kuwauza, huku wakijitwalia mabinti zao kuwafanya wake zao!. Historia haisemi Wangoni hawa waliwafanya nini wenyeji hadi Songea kugeuka ya Wangoni, kama wale Waarabu wa Oman walivyoitwaa Zanzibar na kugeuka ni yao, wakati hawa ni watu wa kuja tuu!. Tupeni na historia ya wenyeji tusiishie kwenye wageni wakuja tuu. Hata Zanzibar, huwezi tena kusikia historia ya wenyeji, na mambo sasa ni bam bam, Mwarabu wa Oman sasa sio Zanzibar tuu..
P
Mwenyewe Mngoni ila siwezi kujitapa eti Chifu wetu alipinga hadharani tamko la Wajerumani kukomesha utumwa.Hapo ndio walichemka; bila uwepo wa mjerumani jamii nyingine zingepata tabu sana kwa mahayawani hawa wa kuja.