Nguli wa vita vya majimaji 1905-1907 Nduna Songea Mbano

Nza...
Singea Mbano ndiye huyo Abdulraufu.
Mkomanile ni Khadija Mkomanile lakini kabla ya kunyongwa akabatizwa akapewa jina Yasintha.
Nilikuwa naitafuta hii comment. Ningeshangaa kama isingekuwepo
 
Nza...
Singea Mbano ndiye huyo Abdulraufu.
Mkomanile ni Khadija Mkomanile lakini kabla ya kunyongwa akabatizwa akapewa jina Yasintha.
kaka mkubwa M Said, hivyo kimsingi Khadija alikubali kubadili dini kabla hajauawa na wajerumani? Hapo tuna mkristo Yasinta,angeweza kukataa na kubaki Khadija au Hawa watu walikuwa hawaelewi tofauti za haya mambo tunayoyashadidia Leo.
 
Tutake radhi. hakuna kabila la wambulu. Mbulu ni eneo mojawapo tu wanakoishi Wairaqw. Sema WAIRAQW. Ukisema WAMBULU unawatenga wale ndg zetu wengine wanaoishi Wilaya za Babati, Hanang'w, Karatu na kwingeneko. Kama inamaaisha the cushites waliopo Tanzania sema Wairaqw na ndugu zetu Wafyomi, Waburunge na Wambugu. Wawa wote ni Wairaqw ambao ni Cushites.
 
Asante sana kunirekebisha, yaani Wakushi, Nilotic na semi Nilotic ni watu wa kuja.
P
 
Mkaza...
Mimi kinachonishangaza ni kwa nini wanamtambulisha kwa jina moja Mkomanile?

Kwa nini hawaandiki "Khadija Mkomanile?"
Labda kwasababu Mkomanile ni jina la mababu zake wakati hilo jingine ni jina la Wakoloni.
 
Una hoja aiseeeeee........
 
Kabla ya ukoloni hakukuwa na hii mipaka iliyotugawa.....hivyo kuwaita wengine wa kuja ni makosa.
 
Mkaza...
Mimi kinachonishangaza ni kwa nini wanamtambulisha kwa jina moja Mkomanile?

Kwa nini hawaandiki "Khadija Mkomanile?"
Mi nimependa zaidi walivyomtambulisha kwa jina la Mkomanile kwa sababu alivyobatizwa akawa na jina jipya kwahiyo katika taarifa yoyote itabidi aandikwe kwa jina jipya ambalo ni Yasintha ambalo halina uhalisia wowote na akitambulishwa kwa jina la Hadija nalo halina mantiki yoyote kwa sababu yeye jina lake halisi ni Yasintha.

Ila nilitembelea makaburi mengi sana pale mahenge mengi hayana kumbukumbu yoyote ya kuwatambulisha waliozolikwa ukiachana na hao Nduna waliozolikwa kwa pamoja nao hwayatambuliki makaburi yao hata lile la pamoja halina matunzo sahihi.

Pia kuna makaburi mengi yasiyo na utambulisho ambayo kwa yanaonekana walizikwa kwa kusimamishwa na mengi yamefutika kabisa asee tumeshindwa kutunza historia halisi tumeamua kubaki na makaratasi Mzee wangu.
 
Ushujaa kuwafanya Waafrika wenzake watumwa? Ana tofauti gani na Wakoloni?
Hapo ndio walichemka; bila uwepo wa mjerumani jamii nyingine zingepata tabu sana kwa mahayawani hawa wa kuja.
 
Wenywe wa Zanzibar wao wenyewe kwa ridhaa yao ndio walioenda Oman kuomba msaada wa waarabu kumuondoa mreno visiwani humo.

Mwarabu hakuja mwnywe aliletwa na wenyeji.
 
Hapo ndio walichemka; bila uwepo wa mjerumani jamii nyingine zingepata tabu sana kwa mahayawani hawa wa kuja.
Mwenyewe Mngoni ila siwezi kujitapa eti Chifu wetu alipinga hadharani tamko la Wajerumani kukomesha utumwa.

Ushenzi mtupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…