Ngumu kuipiku Kaskazini - Kusini, Visiwan tuwe wapole!

Ngumu kuipiku Kaskazini - Kusini, Visiwan tuwe wapole!

Tuelezee kwa nini matokeo yakitoka Zanzibar kwenye waislam 99% wanafeli sanaa kuliko Kilimanjaro na Bukoba,ila per capital ya Zanzibar ni mara 2 ya hio mikoa?😆😅😃
Sababu ni kwamba dini ya uislam haizingatii sana elimu dunia wao wanaona elimu ahera ndio muhimu ambayo kiukweli hakuna mwenye uhakika na ahera kukoje.Hiyo inawaharibu wengi sana kisaikolojia japo wapo waislam wachache wanazingatia elimu dunia na ahera pia.Kwa kule Visiwani mfano familia za mhe Mama yetu ,Mwinyi,Dr Omari Juma,Salim Ahmed Salim,Karume na wengine wengi tu
Per capital have got nothing to do with moral ya kusoma.
Kilimanjaro na Bukoba waliukubali ukristo kwa nguvu zote na zikajengwa shule ya vyuo hivyo ule umorali ukarithishwa vizazi hadi vizazi.
Hapa mtu anaweza kujiuliza mbona nchi kama Misri,Iraq,Iran,Saudia,Falme za kiarabu ambapo hadi wametuma chombo kiko sayari ya Mars kwa sasa kinaitwa hope je wao hawazingati elimu ahera peke yake mbona wako mbali kitaaluma kwa elimu dunia?
Jibu ni kwamba hii dini ya uislam kweli imeanzia kule sisi tukaipokea kama mapokeo tu na kuabdu bila kuhoji kama mazuzu ila wenzetu ni waumini wazuri mno ila wanaangalia na upande wa pili wa shillingi.
Hii huwa ni kawaida inatokeaga.Hata dini ya Ukristo imeanzia Israel ila waisrael hawana habari nayo sasa wapokeaji utakoma ubishi mfano nchi za Brazil,Ufilipino,Italy,Ireland,Cyprus,Malta n..k.
 
1.Hio system ni software ama watu?😀😃😄😆
Hivi unajua uchumi wa Zanzibar yenye watu milioni 2,ni mara mbili ya uchumi wa Kagera na Kilimanjaro......maendeleo sio kukalili past papers,,..thusy why uchumi wa Iraq ni mara 5 ya wa Nigeria,kwenye maprofessa wengi mara 20 ya Iraq😂😀
2.Sasa Kuna haja Gani ya kusomesha mtoto kisha anakuja kua bodaboa na mzurali,.....elimi inawasaidia Nini kama mgawo wa rasilimali munapata 16%,ila Zanzibar hawajaanza kuchinba mafuta na ges yao hadi wapate better deal😃😁😅
Sielewi unachoandika Kalili, Mzurali maana yake nini?

Kwa nilichoelewa kidogo, Zanzibar ni Nchi hivyo bajeti yake haiwezi kufanana na ya Mkoa kama Kagera

Iraq ina rasilimali muhimu na hitajika zaidi duniani yaani mafuta kwa kiwango kikubwa kuliko Nigeria, kingine ni Location ya Iraq ilipo

Unawezaje kulinganisha maeneo hayo?
 
Si siku moja 'system' ijichanganye iamue na mimi niwe Rais niwapelekee moto kuliko ule wa Hayati JPM?
Haipo hivyo, lakini ninachokuambia ni kweli kuwa kwa TZ System /Mfumo wa CCM ndio unaoamua nani apite kwa sababu zipi....hiyo yote ni Wajumbe wa kamati kuu huamua
 
Sababu ni kwamba dini ya uislam haizingatii sana elimu dunia wao wanaona elimu ahera ndio muhimu ambayo kiukweli hakuna mwenye uhakika na ahera kukoje.Hiyo inawaharibu wengi sana kisaikolojia japo wapo waislam wachache wanazingatia elimu dunia na ahera pia.
Per capital have got nothing to do with moral ya kusoma.
Kilimanjaro na Bukoba waliukubali ukristo kwa nguvu zote na zikajengwa shule ya vyuo hivyo ule umorali ukarithishwa vizazi hadi vizazi.
People need to understand history and facts, unajua unaweza ukawa impoverished kutokana na mazingira au system mfano, Kusini wana Korosho wana gesi ila hawana maendeleo au kanda ya ziwa wana Madini ila hawana maendeleo
 
1. Kaskazini walipata Elimu, exposure na Imani mapema sana. Sisi Visiwani tukiwa tunazaliana bila Mpango na kudharau Elimu dunia

Eg. Northern tourism circuit -Kilimanjaro, Serengeti, Ngorongoro, Tarangire ndo zinaongoza kuingiza pato kiutalii

Tanzanite inatoka Kaskazin pia

2. Nipo Kaskazini toka tarehe 22.12.2024 hawa ndugu zetu wamewekeza kwao tofauti na Pwani, Kusini na Visiwani.

Mwenyekiti Mbowe, Mitano tena

BCc: Royal family
Pwani inafanyiwa heavy investment. Dar ni eneo la pwani pia. Wanawekeza, wanaiba kimyakimya, CCM ni ya pwani. Mkija kushtuka it's too late .
 
Idadi ya watu ni muhimu kwa maendeleo sana.....China wameweza kutumia idadi hiyo kimaendeleo....

BTW ni lini idadi ya watu visiwani imekuwa kubwa sana....kwani ARCHIVES zinaonesha sensa ya 2012 walikuwa chini ya milioni 1....hii ya 2022 imekuwa 1.9....doubling the data within a short period of time.....

Ni kuzaliana kwao kulikowaongezea idadi hiyo ama ni SISI wa kutoka huku bara ikiwemo hao wa KASKAZINI ?!!

#Nchi Kwanza!
Hufahamu unachotaka kukiongelea mkuu
 
Sababu ni kwamba dini ya uislam haizingatii sana elimu dunia wao wanaona elimu ahera ndio muhimu ambayo kiukweli hakuna mwenye uhakika na ahera kukoje.Hiyo inawaharibu wengi sana kisaikolojia japo wapo waislam wachache wanazingatia elimu dunia na ahera pia.
Per capital have got nothing to do with moral ya kusoma.
Kilimanjaro na Bukoba waliukubali ukristo kwa nguvu zote na zikajengwa shule ya vyuo hivyo ule umorali ukarithishwa vizazi hadi vizazi.
Hii hoja ni mufilisi. Inaonekana wewe ni mjinga na huna exposure. Waislam wanasoma sana tu, na hizi ndio kauli zinawafanya wakipata madaraka wawabague nyie msio kuwa na akili na kujiongelesha ujinga. Usimuamshe alielala.
 
Bro unaongea kwa mihemko au unaongea kwa data?
Utalii Zanzibar ni mkubwa sana acha masihara wewe!
Hata international Flight Zanzibar ni kubwa kuliko huko Kilimanjaro!
Hela inayoingia Zanzibar yote kupitia utalii pengine ni robo ya hela inayo ingizwa na mlima Kilimanjaro pekee
Kama unabisha tafuta data
 
Hela inayoingia Zanzibar yote kupitia utalii pengine ni robo ya hela inayo ingizwa na mlima Kilimanjaro pekee
Kama unabisha tafuta data
Na mimi nimemwambia hivyo mnyonyoro wa utalii Kilimanjaro na Arusha na mkubwa sana
na mapato yatokanayo na Mlima Kilimanjaro sio mchezo bado Serengeti na Ngorongoro.
 
1. Kaskazini walipata Elimu, exposure na Imani mapema sana. Sisi Visiwani tukiwa tunazaliana bila Mpango na kudharau Elimu dunia

Eg. Northern tourism circuit -Kilimanjaro, Serengeti, Ngorongoro, Tarangire ndo zinaongoza kuingiza pato kiutalii

Tanzanite inatoka Kaskazin pia

2. Nipo Kaskazini toka tarehe 22.12.2024 hawa ndugu zetu wamewekeza kwao tofauti na Pwani, Kusini na Visiwani.

Mwenyekiti Mbowe, Mitano tena

BCc: Royal family
Mi5 kwa mama tena
 
Back
Top Bottom