NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,402
- 4,532
Sababu ni kwamba dini ya uislam haizingatii sana elimu dunia wao wanaona elimu ahera ndio muhimu ambayo kiukweli hakuna mwenye uhakika na ahera kukoje.Hiyo inawaharibu wengi sana kisaikolojia japo wapo waislam wachache wanazingatia elimu dunia na ahera pia.Kwa kule Visiwani mfano familia za mhe Mama yetu ,Mwinyi,Dr Omari Juma,Salim Ahmed Salim,Karume na wengine wengi tuTuelezee kwa nini matokeo yakitoka Zanzibar kwenye waislam 99% wanafeli sanaa kuliko Kilimanjaro na Bukoba,ila per capital ya Zanzibar ni mara 2 ya hio mikoa?😆😅😃
Per capital have got nothing to do with moral ya kusoma.
Kilimanjaro na Bukoba waliukubali ukristo kwa nguvu zote na zikajengwa shule ya vyuo hivyo ule umorali ukarithishwa vizazi hadi vizazi.
Hapa mtu anaweza kujiuliza mbona nchi kama Misri,Iraq,Iran,Saudia,Falme za kiarabu ambapo hadi wametuma chombo kiko sayari ya Mars kwa sasa kinaitwa hope je wao hawazingati elimu ahera peke yake mbona wako mbali kitaaluma kwa elimu dunia?
Jibu ni kwamba hii dini ya uislam kweli imeanzia kule sisi tukaipokea kama mapokeo tu na kuabdu bila kuhoji kama mazuzu ila wenzetu ni waumini wazuri mno ila wanaangalia na upande wa pili wa shillingi.
Hii huwa ni kawaida inatokeaga.Hata dini ya Ukristo imeanzia Israel ila waisrael hawana habari nayo sasa wapokeaji utakoma ubishi mfano nchi za Brazil,Ufilipino,Italy,Ireland,Cyprus,Malta n..k.