Nguo aina hii zinapatikana wapi

Nguo aina hii zinapatikana wapi

Quinton Canosa

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2012
Posts
1,224
Reaction score
1,250
Habari wana jamii forums
Kwa muda sasa nimekuwa nikitafuta mitindo hii ya nguo ambayo nimeona wanawake wa Ethiopia wamekuwa wakivaa sana,nao.ba kujulishwa maharishi yalipo haya machine ya nguo hizi
Screenshot_20230126-005905_Pinterest.jpg
Screenshot_20230126-005941_Pinterest.jpg
Screenshot_20230126-005948_Pinterest.jpg
Screenshot_20230126-005951_Pinterest.jpg
Screenshot_20230126-013259_Pinterest.jpg
Screenshot_20230126-013134_Pinterest.jpg
Screenshot_20230126-013117_Pinterest.jpg
Screenshot_20230126-013055_Pinterest.jpg
Screenshot_20230126-013314_Pinterest.jpg
Screenshot_20230126-013450_Chrome.jpg
Screenshot_20230126-013505_Chrome.jpg
 
Zipo kibao, nenda posta Mpya opposite na Benjamin William mkapa pension tower, Kuna jamaa anaitwa Toma anapanga pale stend ya daladala post - makumbusho
 
Nami huwa nazitamani nitazitafuta
 
Zipo kibao, nenda posta Mpya opposite na Benjamin William mkapa pension tower, Kuna jamaa anaitwa Toma anapanga pale stend ya daladala post - makumbusho
Lakini boss hebu angalia matirio ya hiyo nguo pamoja na nakshi zake hienda zikafanana ila zisiwe hizo
 
Nipe hela nikienda United arab Emirates nikuletee zipo kibao pale sharjah wanauza bei chee ila uchangie kidogo

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom