Nguo kuu nne za kuvaliwa na mwanamke

Nguo kuu nne za kuvaliwa na mwanamke

101 East

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2015
Posts
1,057
Reaction score
2,221
Lazima tuwajulishe watoto wetu wasichana kuwa, katika maisha yao kuna nguo kuu nne za kuvaa.
Nazo ni:
1) Sare ya shule
2) Joho la Graduation
3) Gauni la Harusi
4) Maternity dress (Nguo ya mjamzito)
Hata hivyo, kama ukiruka ya kwanza, hutapata nafasi ya kuvaa ya pili
Na pia Usikimbilie kuvaa ya nne, eti kwa sababu mtu amekuahidi ya tatu.
 
Vijana wa kiume nao hawataki mabinti waanzie kuvaa namba 3. Wanataka waanzie kuvaa namba 4 kwanza ili wawe na uhakika wa kuitwa dady ndipo wavae namba 3.
 
Back
Top Bottom