Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
Siamin na wala sitaki kuamin kama ben ameuwawa
eee mungu twakuomba kama dam ya ben iko ardhin bac kila aliehusika alipwe kadr utakavo
Kuna mambo mtu yeyote yule muungwana, mwenye Roho ya Mungu ndani hawezi furahia hata kidogo.Ndugu zangu naomba mjuwe Koso ila juwa kuna kikomo. Otherwise wengi mtakufa kwa sifa zakijinga.
""Anashughurika!"" sawa wa kanda yetu ya ziwa! lakini Mungu kamla kichwa kiongozi/mfalme/mtukufu/mkuu asiyegusika! Mungu hachezewi!!Hivi unafikiri Mungu huwa anashughirika na wapumbavu kama huyo kijana?, mungu ana kazi nyingi sana, kama wewe unashindwa kujilinda na kujiheshimu, itakula kwako
Hivi unafikiri Mungu huwa anashughirika na wapumbavu kama huyo kijana?, mungu ana kazi nyingi sana, kama wewe unashindwa kujilinda na kujiheshimu, itakula kwako
Pigo mlillolipata limewafunga midomo VIBARAKA wa mwendazake wote, Hakika Mungu wetu ni mkuu sana.Chadomu bwana ni viumbe wa ajabu sn,wao wanaaamini vidole vya miguu yao vile vidogo vya pembeni,vinaakili nyingi kuliko vichwa vya watanzania woote,lkn Mchuma janga hula na wa kwao,
Haita FUTIKAAliibuka kijana akakosoa sana sana mpaka kukatamalaki tahamaki kwamba yule aliye kuwa mfalme wa Beirut hakuna na elimu ya sekondari, na akaenda mbali kusema kwamba ile elimu ya sekondari aliyoipata mfalme ilikuwa kubebwa na msimamizi wake,
Suala ili lilionekana kumkera sana aliyekuwa gavana wa jiji kubwa hapo Beirut akaamua kuingia kazini,
Wakatumia boti ya jeshi ambayo inapaki ufukweni mwa eneo ambapo daraja ambalo litajengwa mjini humo, akafungwa na bahati nzuri magwanda yake na scaf yake alikuwa navyo,
Mvuvi mmoja wa kisiwa cha Kluseo akaeleza kwamba wakati boti ile inelekea maeneo kuliko yale mavisiwa ambayo hawaruhusiwi kuingia waliona kama kuna mtu kafungwa kwa mbali, kwa kuwa ilikuwa boti ya wazi , lakin hawakujihakikisha zaid maana ilikuwa usiku,
Baada ya week maeneo Yale wakipita walikuta shati la kamanda huyo pembeni lina damu inayoonekana ilichuruzika kutoka kwenye mdomo au puani, na hii ni kutokana na kubanwa sana na python wa eneo lile,
R.I.P kamandaa
CcTumainiel na memba mmoja humu hakika watakuwa wanajua kilichompata
Utashangaa wajinga flani wanasifu wauaji wa watu wasiostahili kuuwawa maana hawakuwa na hatua.
Mfalme wa Beiruti tayari, Mungu mwenyewe atakuwa na mpango na wengine waliodhulumu uhai wa innocent citizens.
Jiwe alikuwa baladhuliMungu ampe @bensanane kauli thabiti ili asisalie hata mmoja kati ya waliyomnyooshea mkono
mleta mada amezinduka kutoka kwenye usingizi mzito halafu hajui anaandika kitu gani..mimi mwenyewe sijaelewa kabisa....Sijaelewa mkuu. Aliyeelewa anisaidie. Au nina chuki binafsi?