Nguo na scaf yake vilionekana kuwa na damu na maji yaliyotokea puani wakati akibanwa na python, aliyekuwa mkosoaji wa elimu ya mfalme wa Beirut

Nguo na scaf yake vilionekana kuwa na damu na maji yaliyotokea puani wakati akibanwa na python, aliyekuwa mkosoaji wa elimu ya mfalme wa Beirut

Ndugu zangu naomba mjuwe Koso ila juwa kuna kikomo. Otherwise wengi mtakufa kwa sifa zakijinga.
Kuna mambo mtu yeyote yule muungwana, mwenye Roho ya Mungu ndani hawezi furahia hata kidogo.

Kama ulifurahia huu uovu aliofanyiwa ndugu yetu Saanane, basi una roho kubwa ya Ibilisi ndani.
 
Hivi unafikiri Mungu huwa anashughirika na wapumbavu kama huyo kijana?, mungu ana kazi nyingi sana, kama wewe unashindwa kujilinda na kujiheshimu, itakula kwako
""Anashughurika!"" sawa wa kanda yetu ya ziwa! lakini Mungu kamla kichwa kiongozi/mfalme/mtukufu/mkuu asiyegusika! Mungu hachezewi!!
 
Mungu atende tu kwa wote waliotenda uovu juu ya wenzao na wakamwaga damu za wenzao wakijifikiri wao ni miungu watu,

Damu waliyomwaga itakula vizazi vyao vyote, na iwe fundisho kwa waliopo kwamba uovu ni kitu kibaya na Mungù wa Mbinguni anajibu kwa upanga wa moto!!
 
Utashangaa wajinga flani wanasifu wauaji wa watu wasiostahili kuuwawa maana hawakuwa na hatua.
Mfalme wa Beiruti tayari, Mungu mwenyewe atakuwa na mpango na wengine waliodhulumu uhai wa innocent citizens.
 
Aliibuka kijana akakosoa sana sana mpaka kukatamalaki tahamaki kwamba yule aliye kuwa mfalme wa Beirut hakuna na elimu ya sekondari, na akaenda mbali kusema kwamba ile elimu ya sekondari aliyoipata mfalme ilikuwa kubebwa na msimamizi wake,

Suala ili lilionekana kumkera sana aliyekuwa gavana wa jiji kubwa hapo Beirut akaamua kuingia kazini,

Wakatumia boti ya jeshi ambayo inapaki ufukweni mwa eneo ambapo daraja ambalo litajengwa mjini humo, akafungwa na bahati nzuri magwanda yake na scaf yake alikuwa navyo,

Mvuvi mmoja wa kisiwa cha Kluseo akaeleza kwamba wakati boti ile inelekea maeneo kuliko yale mavisiwa ambayo hawaruhusiwi kuingia waliona kama kuna mtu kafungwa kwa mbali, kwa kuwa ilikuwa boti ya wazi , lakin hawakujihakikisha zaid maana ilikuwa usiku,

Baada ya week maeneo Yale wakipita walikuta shati la kamanda huyo pembeni lina damu inayoonekana ilichuruzika kutoka kwenye mdomo au puani, na hii ni kutokana na kubanwa sana na python wa eneo lile,

R.I.P kamandaa
Haita FUTIKA
 
Utashangaa wajinga flani wanasifu wauaji wa watu wasiostahili kuuwawa maana hawakuwa na hatua.
Mfalme wa Beiruti tayari, Mungu mwenyewe atakuwa na mpango na wengine waliodhulumu uhai wa innocent citizens.
 
Mfalme wa Beirut alitoa amri kijana mkosoaji aletwe kwenye jumba. Haraka sana wafanyakazi wakamtafuta na kumpeleka.

Alipoingia kwenye jumba kijana akamkuta mfalme amefura mithiri ya chatu.

Ndipo mfalme kwa mkono wake akamnyooshea kijana mguu wa kuku na kumpeleka peponi.
 
Sijaelewa mkuu. Aliyeelewa anisaidie. Au nina chuki binafsi?
mleta mada amezinduka kutoka kwenye usingizi mzito halafu hajui anaandika kitu gani..mimi mwenyewe sijaelewa kabisa....
 
Nafahamu kabisa watawala wa Tanzania wana hulka ya kupenda kumwaga damu za wananchi wasio na hatia. Lakini katika wote nadhani Magufuli alizidi na kuvuka mipaka, huwa najiuliza sana ile roho mbaya vile yule msukuma aliitoa wapi na sipati kabisa majibu. Nimeishi sana na wasukuma lakini hawana roho kama ile.

Kiwango kama kile cha chuki nimekishuhudia nchi kama Rwanda, Burundi, Congo, Sudan na Somalia huko. Japo, watanzania hatujakamilika kuliko nchi nyingine, sisi bado ni watu wenye uungwana na utu kwa kiwango cha juu mno. Marehemu alifanya mambo ya kihaini na alikuwa mtu hatari sana....
 
Back
Top Bottom