Nguo na scaf yake vilionekana kuwa na damu na maji yaliyotokea puani wakati akibanwa na python, aliyekuwa mkosoaji wa elimu ya mfalme wa Beirut

Sijaelewa mkuu. Aliyeelewa anisaidie. Au nina chuki binafsi?
Mimi nimeelewa ni stori inayomhusu kijana machachari aliyekuwa akimchalenji mfalme kuhusu elimu yake kwamba ni feki aliipata kwa kubebwa ndipo ikabidi kumpoteza na kazi hiyo ilifanywa na kagavana ka mji mkubwa wa hiyo nchi ambako kamekuwa kakianzisha kampeni mbali mbali za kumfurahisha mfalme lakini zinazokwama na kuleta taharuki mara kwa mara huko huko Islamabd Beiruti. Yaani ndio hivyo nilivyoelewa kuhusu mambo yaliiyomtokea huyo kamanda huko Beiruti. Yaani ndio kusema kamanda kijana ameRIP
 
Sure
 

Islamabad, Beirut? labda ni indrect way ya kiongelea Tz.
 
Ndugu zangu naomba mjuwe Koso ila juwa kuna kikomo. Otherwise wengi mtakufa kwa sifa zakijinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…