Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekuelewa, kwa hiyo alivushiwa pale pa MO, kwenye Jim linalokanahakika mkuu hatunaye tena
Watu mnapotosha mi simoNimekuelewa, kwa hiyo alivushiwa pale pa MO, kwenye Jim linalokana
Mkuu usiandike hizi habari kiutani kuna watu wako tayari kujilipua liwalo na liwe, hii kitu ilaleta balaaAliibuka kijana akakosoa sana sana mpaka kukatamalaki tahamaki kwamba yule aliye kuwa mfalme wa Beirut hakuna na elimu ya sekondari, na akaenda mbali kusema kwamba ile elimu ya sekondari aliyoipata mfalme ilikuwa kubebwa na msimamizi wake,
Suala ili lilionekana kumkera sana aliyekuwa gavana wa jiji kubwa hapo Beirut akaamua kuingia kazini,
Wakatumia boti ya jeshi ambayo inapaki ufukweni mwa eneo ambapo daraja ambalo litajengwa mjini humo, akafungwa na bahati nzuri magwanda yake na scaf yake alikuwa navyo,
Mvuvi mmoja wa kisiwa cha Kluseo akaeleza kwamba wakati boti ile inelekea maeneo kuliko yale mavisiwa ambayo hawaruhusiwi kuingia waliona kama kuna mtu kafungwa kwa mbali, kwa kuwa ilikuwa boti ya wazi , lakin hawakujihakikisha zaid maana ilikuwa usiku,
Baada ya week maeneo Yale wakipita walikuta shati la kamanda huyo pembeni lina damu inayoonekana ilichuruzika kutoka kwenye mdomo au puani, na hii ni kutokana na kubanwa sana na python wa eneo lile,
R.I.P kamandaa
Andiko lako kwenye thread ya Ben inakuunganisha na kupotea kwake.Mungu wa Mbinguni anawaona.Mtawakwepa binadamu wenzenu lakini Mungu hadhihakiwiNdugu zangu naomba mjuwe Koso ila juwa kuna kikomo. Otherwise wengi mtakufa kwa sifa zakijinga.
Inanikumbusha hadithi za John Rutaisingwa kwenye gazeti la Rai zikiihusu Jamhuri ya MkunyuAliibuka kijana akakosoa sana sana mpaka kukatamalaki tahamaki kwamba yule aliye kuwa mfalme wa Beirut hakuna na elimu ya sekondari, na akaenda mbali kusema kwamba ile elimu ya sekondari aliyoipata mfalme ilikuwa kubebwa na msimamizi wake,
Suala ili lilionekana kumkera sana aliyekuwa gavana wa jiji kubwa hapo Beirut akaamua kuingia kazini,
Wakatumia boti ya jeshi ambayo inapaki ufukweni mwa eneo ambapo daraja ambalo litajengwa mjini humo, akafungwa na bahati nzuri magwanda yake na scaf yake alikuwa navyo,
Mvuvi mmoja wa kisiwa cha Kluseo akaeleza kwamba wakati boti ile inelekea maeneo kuliko yale mavisiwa ambayo hawaruhusiwi kuingia waliona kama kuna mtu kafungwa kwa mbali, kwa kuwa ilikuwa boti ya wazi , lakin hawakujihakikisha zaid maana ilikuwa usiku,
Baada ya week maeneo Yale wakipita walikuta shati la kamanda huyo pembeni lina damu inayoonekana ilichuruzika kutoka kwenye mdomo au puani, na hii ni kutokana na kubanwa sana na python wa eneo lile,
R.I.P kamandaa
Usituchoshe. Ugali wa Mama ntilie mtamu kuliko wa SEGEREASijaelewa mkuu. Aliyeelewa anisaidie. Au nina chuki binafsi?
Hivi wewe unajitambua kweli? Nitajie ambaye hatakufa sababu hataki sifa za kijinga. Au unajidhani kuwa wewe upo salama sana sababu ya upande ulipo? UmejidanganyaNdugu zangu naomba mjuwe Koso ila juwa kuna kikomo. Otherwise wengi mtakufa kwa sifa zakijinga.
HahaaUsituchoshe. Ugali wa Mama ntilie mtamu kuliko wa SEGEREA
Walimfunga jiwe na kumtupa baharini?Utazika kilichomezwa??
KumbeNimepata pa kujiegesha endeleeni kukngeza pages
Hii habari ya britanicca inabidi nimtafute Consigliere huyu kamaa lazima atakua na kitu cha kutumulikia. Ukimsoma btw the lines huwa namuogopa sanaWalimfunga jiwe na kumtupa baharini?
Aliibuka kijana akakosoa sana sana mpaka kukatamalaki tahamaki kwamba yule aliye kuwa mfalme wa Beirut hakuna na elimu ya sekondari, na akaenda mbali kusema kwamba ile elimu ya sekondari aliyoipata mfalme ilikuwa kubebwa na msimamizi wake,