Nguo na scaf yake vilionekana kuwa na damu na maji yaliyotokea puani wakati akibanwa na python, aliyekuwa mkosoaji wa elimu ya mfalme wa Beirut

Nguo na scaf yake vilionekana kuwa na damu na maji yaliyotokea puani wakati akibanwa na python, aliyekuwa mkosoaji wa elimu ya mfalme wa Beirut

Samahani wadau,uzi huu kama inawezekana upandishwe juu ili uwekewe maelezo tena ya kina kidogo tu.Samahani lakini story imegusa moyo Sana
 
haya mambo yametokea Tanzania na kufanywa na watanzania?
 
Yes tunajua mkuu kilichotokea,Bashite has done many evils for the sake of his master,the Devil that occupies a big house along the sea
Na huyu wakati ukifika tutamfanyia kitu mbaya sana ikiwa ni pamoja na kumtembeza uchi lile wowowo lake kama la Snura sawa sawa na livyo tembezwa Doe Liberia. DAB hastahili huruma
 
Aliibuka kijana akakosoa sana sana mpaka kukatamalaki tahamaki kwamba yule aliye kuwa mfalme wa Beirut hakuna na elimu ya sekondari, na akaenda mbali kusema kwamba ile elimu ya sekondari aliyoipata mfalme ilikuwa kubebwa na msimamizi wake,

Suala ili lilionekana kumkera sana aliyekuwa gavana wa jiji kubwa hapo Beirut akaamua kuingia kazini,

Wakatumia boti ya jeshi ambayo inapaki ufukweni mwa eneo ambapo daraja ambalo litajengwa mjini humo, akafungwa na bahati nzuri magwanda yake na scaf yake alikuwa navyo,

Mvuvi mmoja wa kisiwa cha Kluseo akaeleza kwamba wakati boti ile inelekea maeneo kuliko yale mavisiwa ambayo hawaruhusiwi kuingia waliona kama kuna mtu kafungwa kwa mbali, kwa kuwa ilikuwa boti ya wazi , lakin hawakujihakikisha zaid maana ilikuwa usiku,

Baada ya week maeneo Yale wakipita walikuta shati la kamanda huyo pembeni lina damu inayoonekana ilichuruzika kutoka kwenye mdomo au puani, na hii ni kutokana na kubanwa sana na python wa eneo lile,

R.I.P kamandaa
Damu ya Abel inaendelea kumlilia Mungu ikidai kisasi zidi ya Kaini. Haitanyamaza mpaka kizazi cha kaini kimefutika kabisa katika dunia hii.
"The Book of Enoch"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom