Nguo na scaf yake vilionekana kuwa na damu na maji yaliyotokea puani wakati akibanwa na python, aliyekuwa mkosoaji wa elimu ya mfalme wa Beirut

Huwa natamani Hawa wauaji wawili na mawakala wao kina Le person nipate japo mwanya niwakate hata mkono tu ili japo waone uchungu kidogo. Niseme kweli sijawahi mwombea maana sitaki unafiki. Huwa naomba Mungu awaumbue na shukuru kila siku anaumbuka kila analojaribu linabuma. Korosho hoi, makinikia hoi, kikokotoo hoi, na mengine kibao. Jitu linahubiri amani huku linaua watu, Saanane 8, Mawazo, Azory, Lisu Mungu alikataa, kisha nijifanye na mwombea mema huku kina Mbowe umewaweka behind bars kwa uonevu. Kuwa mtumishi wa umma ni dhambi hupaswi kuhoji, wala kuongezwa mishahara wala vyeo/madaraja. Watakuombea kina Jenisst. Ukifa hata Leo kwangu sherehe kwani uliowalishia chatu si binadamu..Mungu chukua hii takataka hata leo
 
Mungu atamlipa kila mtu kwa kadri ya matendo yake, wauaji nao watauawa siku ikifika
 
Huwa nazawa sana kifo cha bashite, kitakuwaje, natamani akamatwe anyofolewe kiungo kimoja baada ya kingine hadi vyote viishe
 
Bashite the assistant great devil amefanya yake huko nchini kusadikika !!!!Oh Mungu wetu mwingi wa huruma hili jitu katili sana na babake failure wa mipango usiyapite mokozi yaite mbinguni yapewe hukuma kwa unafiki wa kichawi wa majukwani huku usiku yakipanga mauaji
 
Hawa watu wana roho ya ajabu sana....ila naamini katka neno la Mungu...’amwagaye damu ya mtu na yakwake itamwagwa...
 
Kama nguo na scaf zilionekana kwanini zisichuliwe zikapelekwa nje ya nchi kupima dna ili ukweli ujulikane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…