Amri kuu ni Upendo
JF-Expert Member
- Oct 18, 2012
- 789
- 489
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Du kumbe ndiyo walivyomfanya Ben Saanane? Asante kwa taarifa mkuu
Kuna siku itafanyika kama za makatili ya Afrika kusiniInquest muhimu
Hard to believe.hakika mkuu hatunaye tena
Mkuu angalie wasije kutoa kafara...hakika mkuu hatunaye tena
Saa8Sijaelewa mkuu. Aliyeelewa anisaidie. Au nina chuki binafsi?
Bashite the assistant great devil amefanya yake huko nchini kusadikika !!!!Oh Mungu wetu mwingi wa huruma hili jitu katili sana na babake failure wa mipango usiyapite mokozi yaite mbinguni yapewe hukuma kwa unafiki wa kichawi wa majukwani huku usiku yakipanga mauajiAliibuka kijana akakosoa sana sana mpaka kukatamalaki tahamaki kwamba yule aliye kuwa mfalme wa Beirut hakuna na elimu ya sekondari, na akaenda mbali kusema kwamba ile elimu ya sekondari aliyoipata mfalme ilikuwa kubebwa na msimamizi wake,
Suala ili lilionekana kumkera sana aliyekuwa gavana wa jiji kubwa hapo Beirut akaamua kuingia kazini,
Wakatumia boti ya jeshi ambayo inapaki ufukweni mwa eneo ambapo daraja ambalo litajengwa mjini humo, akafungwa na bahati nzuri magwanda yake na scaf yake alikuwa navyo,
Mvuvi mmoja wa kisiwa cha Kluseo akaeleza kwamba wakati boti ile inelekea maeneo kuliko yale mavisiwa ambayo hawaruhusiwi kuingia waliona kama kuna mtu kafungwa kwa mbali, kwa kuwa ilikuwa boti ya wazi , lakin hawakujihakikisha zaid maana ilikuwa usiku,
Baada ya week maeneo Yale wakipita walikuta shati la kamanda huyo pembeni lina damu inayoonekana ilichuruzika kutoka kwenye mdomo au puani, na hii ni kutokana na kubanwa sana na python wa eneo lile,
R.I.P kamandaa
Damu ya Mtu huwa haipotei ipo siku watajitaja tu hata wakikimbilia MAKANISANI msamaha hautokuwepo adhabu itawakuta tena hapahapa Duniani.
hyo n chuk binafsiSijaelewa mkuu. Aliyeelewa anisaidie. Au nina chuki binafsi?