Nguo na scaf yake vilionekana kuwa na damu na maji yaliyotokea puani wakati akibanwa na python, aliyekuwa mkosoaji wa elimu ya mfalme wa Beirut

Nguo na scaf yake vilionekana kuwa na damu na maji yaliyotokea puani wakati akibanwa na python, aliyekuwa mkosoaji wa elimu ya mfalme wa Beirut

Utawala wa Beirut utaanguka kwa aibu na wote waliohusika kuua na kujaribu kuua lazima watakufa vifo vya mateso sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Inapokuja kiongozi anaua raia, huyo hata kama angekuwa anagawa pesa kila siku kwa raia wake, kamwe hawezi kunishawishi kwa namna yoyote ile kuwa ni kiongozi. Huyo ni shetani.

Shetani hata angekupa mazuri ya namna gani, huendelea kuwa ni shetani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliibuka kijana akakosoa sana sana mpaka kukatamalaki tahamaki kwamba yule aliye kuwa mfalme wa Beirut hakuna na elimu ya sekondari, na akaenda mbali kusema kwamba ile elimu ya sekondari aliyoipata mfalme ilikuwa kubebwa na msimamizi wake,

Suala ili lilionekana kumkera sana aliyekuwa gavana wa jiji kubwa hapo Beirut akaamua kuingia kazini,

Wakatumia boti ya jeshi ambayo inapaki ufukweni mwa eneo ambapo daraja ambalo litajengwa mjini humo, akafungwa na bahati nzuri magwanda yake na scaf yake alikuwa navyo,

Mvuvi mmoja wa kisiwa cha Kluseo akaeleza kwamba wakati boti ile inelekea maeneo kuliko yale mavisiwa ambayo hawaruhusiwi kuingia waliona kama kuna mtu kafungwa kwa mbali, kwa kuwa ilikuwa boti ya wazi , lakin hawakujihakikisha zaid maana ilikuwa usiku,

Baada ya week maeneo Yale wakipita walikuta shati la kamanda huyo pembeni lina damu inayoonekana ilichuruzika kutoka kwenye mdomo au puani, na hii ni kutokana na kubanwa sana na python wa eneo lile,

R.I.P kamandaa
Duu [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]pekeyake na chatu

Jr[emoji769]
 
Huko
Makanisan wanaenda kulialia nini wakati hawajatubu dhambi hiyo? Ipo siku watakua machizi wataokota makopo na kutoa siri zote.
 
Weastage of time provoking public feeling. Stupid Chadema, you only survive by feeding poison , this is public poisoning nothing more .
 
Hili SWALA LA BEN SAANANE ni bonge la kosa na doa kubwa, lkn kwa sababu waliona wamefanikiwa wakaongeza lingine kwa LISU.
WATETEZI WA MAOVU HAYA akina tumainel wao waendelee tuna mwachia MUNGU asiyefichwa jambo na mwanadamu yeye anajua nini atawafanya na lazima wataulipa ubaya huu. Kwa maana neno la Mungu linasema auae kwa upanga ataanguka kwa huo. Mateso mauaji wafanyayo yatawakuta muda simrefu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
acha kufikiria ki[puuzu inaelekea ulikuwa unawapa shida sana walimu wako kwa ubongo wako uliojaa makamasi
Unlike you, mimi niko bright na ubongo wangu upo vizuri na jamii na wallimu wangu hawakuwahi kupata tabu kunifundisha kapimwe akili, kisha soma tena uliyoandika halafu uniambiae kama ni kitu ambacho kinawezekana kwa mfumo wetu tulionao sasa hivi kama nchi na utawala...nonesense

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom