Anajulikana mpaka jinsia yake na atokakoNahitaji majibu
Duh🥱🤔😂😂😂Kwa raha zao wanatamba naye😁
Hivi Samia anajua kusuka hata mabutu ? au unaongelea kusuka vijembe 🧐Kwa raha zao wanatamba naye😁
Kunya na……Kwa raha zao wanatamba naye😁
mropokaji yeyote ni Lazima awe na stress za maisha.
mropokaji yeyote ni Lazima awe na stress za maisha.
si husiki na huo ushirikiana gentleman 🐒
Nyuzi Kama hizi zinafaida gani ktk kuendeleza harakat za kipinzani ?
Sabab hakuna asiyejua kuwa hii nchi ni ya machawa tayari, Sasa how does it benefit the opposition to stick on petty discussions like these ?
Hakuna ideas kutwa kujadili watu... Tumerogwa hakika.
Sijakuelewa mkuuKunya na……
Mimi sijui lolote mkuu, nimeitoa tu huko kwa watu wenye mapenzi na bi. mdashi.Hivi Samia anajua kusuka hata mabutu ? au unaongelea kusuka vijembe 🧐
Huu sio msemo wa wahenga ngoja waje wahuni wenzio🤣🤣🤣🤣Nahitaji majibu
Hii sasa imezidi...hivi hata mtu haushtuki kila kitu kinawekwa jina lako...Kwa raha zao wanatamba naye😁
Mtuache na sisi wasusi tutambe na mama yetu.Hii sasa imezidi...hivi hata mtu haushtuki kila kitu kinawekwa jina lako...
Wee hatari sana sasa sijui mtamsukaaaMtuache na sisi wasusi tutambe na mama yetu.
Ebo!😁