Nguo ya mwendawazimu haikosi chawa, mnaojiita chawa mwendawazimu wenu ni nani?

Nyuzi Kama hizi zinafaida gani ktk kuendeleza harakat za kipinzani ?

Sabab hakuna asiyejua kuwa hii nchi ni ya machawa tayari, Sasa how does it benefit the opposition to stick on petty discussions like these ?

Hakuna ideas kutwa kujadili watu... Tumerogwa hakika.
 

Ni mwiba mchungu mno kwa mama na ng'ombe wake:

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…