Nguo ya ndani inabidi ivaliwe kwa miezi mitatu tu na itupwe. Kina dada acheni kununua sidiria za mitumba

Nguo ya ndani inabidi ivaliwe kwa miezi mitatu tu na itupwe. Kina dada acheni kununua sidiria za mitumba

Mjina Mrefu

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2016
Posts
3,045
Reaction score
3,389
Wakuu,

Kuna watu huwa wanatumia nguo za ndani kwa muda mrefu bila kununua mpya.

Kiafya, nguo ya ndani inabidi ivaliwe kwa miezi mitatu tu baada ya kuinunua, kisha itupwe au ichomwe moto.

Unapoitumia nguo ya ndani mwaka mzima kwanza ni aibu.

Vile vile nguo za ndani za mitumba siyo njema kuvaliwa. Hasa kina dada mnapenda sana kuvaa brazia za mitumba. Siyo nzuri kiafya na huweza kukuletea magonjwa ya ngozi.

Mjina Mrefu (M. M)
 
Inategemea unazo ngapi. Wengine wana 50+ akirudi a ni baada ya zaidi ya mwezi. Ninavhofahamu ni kuwa nguo yeyote inayovaliwa next to the skin inatakiwa kubadilishwa kila siku.
Pichu
Socks
Vest
Sidiria
 
Back
Top Bottom