Nguo ya ndani inabidi ivaliwe kwa miezi mitatu tu na itupwe. Kina dada acheni kununua sidiria za mitumba

Nguo ya ndani inabidi ivaliwe kwa miezi mitatu tu na itupwe. Kina dada acheni kununua sidiria za mitumba

Mambo ya kubadilisha boxer kila siku tunawaachia wanaume wa daslam...sisi wa mikoani tunabadilisha baada ya wiki mbili
 
Inategemea unazo ngapi. Wengine wana 50+ akirudi a ni baada ya zaidi ya mwezi. Ninavhofahamu ni kuwa nguo yeyote inayovaliwa next to the skin inatakiwa kubadilishwa kila siku.
Pichu
Socks
Vest
Sidiria
Km zipo nyingi, sawa kabisa haina neno. Hii ina wahusu walio nazo nne au tano tu
 
Bra za mtumba ni the best, za dukani hazikai vizuri, hazibani nyonyo, zinakua mama nibebe yani huku mgongoni inapanda juu, mikanda imelegea, mi siziwezi.
Sasa unanunua brazia ilishavaliwa na mtu mwenye magonjwa ya ngozi, inakua nirahisi kuambukizwa pia
 
Inategemea unazo ngapi. Wengine wana 50+ akirudi a ni baada ya zaidi ya mwezi. Ninavhofahamu ni kuwa nguo yeyote inayovaliwa next to the skin inatakiwa kubadilishwa kila siku.
Pichu
Socks
Vest
Sidiria
Pichu = Chupi 😎
 
Wakuu,

Kuna watu huwa wanatumia nguo za ndani kwa muda mrefu bila kununua mpya.

Kiafya, nguo ya ndani inabidi ivaliwe kwa miezi mitatu tu baada ya kuinunua, kisha itupwe au ichomwe moto.

Unapoitumia nguo ya ndani mwaka mzima kwanza ni aibu.

Vile vile nguo za ndani za mitumba siyo njema kuvaliwa. Hasa kina dada mnapenda sana kuvaa brazia za mitumba. Siyo nzuri kiafya na huweza kukuletea magonjwa ya ngozi.

Mjina Mrefu (M. M)
Hii umeitoa wapi? nani aliwahi kufanya utafiti? Weka hapa methodology zake na findings
 
watu wanajifanya wanazingatia sana kanuni za afya, hii ni ukweli au?[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Chupi inavaliwa inachakaa mpka inakuwa na ugili gili
 
Back
Top Bottom