Nguo ya rangi gani ambayo huwezi vaaa?

Inategemea nguo ya wapi. Mfano nyeupe ikiwa shati navaa ila suruali nyeupe siwezi. Nyekundu kama shati ama gauni navaa ila kama ni p!chu marufuku. Rangi nazopenda kiujumla ni nyeusi, kijivu, pink, blue nyeusi, khaki etc.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…