Nguo ya rangi gani ambayo huwezi vaaa?

Nguo ya rangi gani ambayo huwezi vaaa?

black inavutia ina kaushawishi flani hivi
Hasa awe na kamng'ao flani hivi, ila rangi nzuri kwa mubebe, ni ile inaitwa baby blue, ukivaa bra au kyupi rangi hizo bwana anaweza kuvila na vyenyewe, white iko poa sema imevalika mno, nyingine ziwe light pink, green, yellow orange nk
 
Pinki na rangi yoyote ambayo inaendana na pink na siielewi elewi maana mi rangi zisijui vizuri.
Nikihisi ina upink kwa mbali hiyo katu siivai.

Nyekundu navaa ila nikishindwa kuitambua kama ni pink au nyekundu siivai.
 
like that anakua na kamtego apoi
 
kwam
Pinki na rangi yoyote ambayo inaendana na pink na siielewi elewi maana mi rangi zisijui vizuri.
Nikihisi ina upink kwa mbali hiyo katu siivai.

Nyekundu navaa ila nikishindwa kuitambua kama ni pink au nyekundu siivai.
ba umezeeka ivyo up usijue rangi
 
Shuler tulifundishwa rangi na stadi za kazi tulifundishwa jinsi ya kuchanganya rangi mimi nazijua rangi nyingi
Wanaume wengi tupo hivyo sio mimi peke yangu.
Nje ya nyeusi na nyeupe wengi hizo nyingine zinatupiga chenga, sijui maruni, purple, chocolate colour sijui nayo ni rangi, orange nk
 
Back
Top Bottom