Nguo ya rangi gani ambayo huwezi vaaa?

Nguo ya rangi gani ambayo huwezi vaaa?

Mkuu unavaaje suruali ya zambarau au kwa kijana wa miaka 28+ unavaaje soksi za njano? Aise mimi siwezi kuvaa hivyo kwakweli. 😂😂
ahaha ni mbaya sana kwa afya ya kupata.dem kwa uvaaji uho
 
Why rangi ya pink inapendwa na wanawake? Kuanzia ndani mle hadi huku nje ni code za pink. Why pink iwe favorite colour kwa hawa ladies?
 
Mwanaume hutakiwi kuvaa chochote chenye rangi ya pink hata begi haifai, siwezi kuvaa Trouser ya rangi nyekundu, njano au kijani, jeans zangu ni rangi mbili tu blue na nyeusi.
 
kijivu kwa jeans ni mzur pia
Mwanaume hutakiwi kuvaa chochote chenye rangi ya pink hata begi haifai, siwezi kuvaa Trouser ya rangi nyekundu, njano au kijani, jeans zangu ni rangi mbili tu blue na nyeusi.
 
Back
Top Bottom