Nguo ya rangi gani ambayo huwezi vaaa?

Nguo ya rangi gani ambayo huwezi vaaa?

Hasa awe na kamng'ao flani hivi, ila rangi nzuri kwa mubebe, ni ile inaitwa baby blue, ukivaa bra au kyupi rangi hizo bwana anaweza kuvila na vyenyewe, white iko poa sema imevalika mno, nyingine ziwe light pink, green, yellow orange nk
Comment yako imenyanyua mB0or yangu hakiyani aaauuuwwwwww!! Kapeace
 
Rangi yoyote navaa na inategemea ni nguo gani mfano ni Tshirt, shirt, pens au suruali hapo ndio ntachagua rangi yani naweza kuvaa tshirt ya zambarau ila kamwe siwezi kuvaa suruali ya zambarau au shirt la pink ila siwezi kuvaa pens ya pink.

Pia siwezi vaa nguo ya kitambaa kinacho ng'aa.
 
ety pen

si ya zambarau 😃😃
 
Back
Top Bottom