Nguo ya rangi gani ambayo huwezi vaaa?

Nguo ya rangi gani ambayo huwezi vaaa?

embu vaa tuone.una dashing vip tupia kapicha
Inategemea nguo ya wapi. Mfano nyeupe ikiwa shati navaa ila suruali nyeupe siwezi. Nyekundu kama shati ama gauni navaa ila kama ni p!chu marufuku. Rangi nazopenda kiujumla ni nyeusi, kijivu, pink, blue nyeusi, khaki etc.
 
Back
Top Bottom