Nguo za jeshi kufanana na za nchi nyingine sahihi

Nguo za jeshi kufanana na za nchi nyingine sahihi

Royal Son

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2016
Posts
1,677
Reaction score
3,174
Kuna nch huku inapakana na malawi wanavaa nguo za jeshi zinafanana za us au Israel
je ni sahihi ?
 
Mdau pale pembeni anasema tupiamo kapicha afananishe
 
Kuna nch huku inapakana na malawi wanavaa nguo za jeshi zinafanana za us au Israel
je ni sahihi ?
Unapaswa kujua nguo za jeshi ni camouflage ya kumficha askari asionekane na adui akiwa vitani porini. Sasa kama mapori yote yanafanana nguo za jeshi zitafanana, iwe za vitani msituni au jangwani au kwenye snow urusi huko.
 
Back
Top Bottom