Royal Son JF-Expert Member Joined Dec 22, 2016 Posts 1,677 Reaction score 3,174 Jul 13, 2026 #1 Kuna nch huku inapakana na malawi wanavaa nguo za jeshi zinafanana za us au Israel je ni sahihi ?
A Angada JF-Expert Member Joined May 19, 2024 Posts 1,921 Reaction score 3,390 Jul 13, 2026 #2 Mdau pale pembeni anasema tupiamo kapicha afananishe
S Synthesizer Platinum Member Joined Feb 15, 2010 Posts 15,415 Reaction score 29,584 Jul 13, 2026 #3 Royal Son said: Kuna nch huku inapakana na malawi wanavaa nguo za jeshi zinafanana za us au Israel je ni sahihi ? Click to expand... Unapaswa kujua nguo za jeshi ni camouflage ya kumficha askari asionekane na adui akiwa vitani porini. Sasa kama mapori yote yanafanana nguo za jeshi zitafanana, iwe za vitani msituni au jangwani au kwenye snow urusi huko.
Royal Son said: Kuna nch huku inapakana na malawi wanavaa nguo za jeshi zinafanana za us au Israel je ni sahihi ? Click to expand... Unapaswa kujua nguo za jeshi ni camouflage ya kumficha askari asionekane na adui akiwa vitani porini. Sasa kama mapori yote yanafanana nguo za jeshi zitafanana, iwe za vitani msituni au jangwani au kwenye snow urusi huko.