Nguo za kiume za siku hizi zina viashiria vya ushoga

Mob psychology and Technology pants!

Tuna matatizo mengi sana mleta mada. Si katika siasa, uchumi, ,mahusiano, imani, elimu, biashara nk. Ni ushabiki, unazi, umaamuma na kadhalika. Hatuthamini vyakula vya asili, nguo za asili, michezo ya asili, nyimbo za asili, ngozi za asili na kadhalika.

Jamii ya namna hii lazima itengeneza watu ambao kimsingi ni wa wa hovyo (kumradhi), wasiojiheshimu, washenzi, wajinga, waso na tafakuri za kina, wenye misimamo iso na mantiki na kadhalika.

Elimu ya kweli ni kujielewa, kuielewa jamii na kuuelewa ulimwengu. Usipoijua historia yako unakuwa sawa na mti usio na mizizi-Marcus Garvey (Yohana Mbatizaji wa watu weusi).

Huria si Holela. Suala la Mavazi limeshakuwa holela. Tunaingiza nguo za kipuuzi na serikali ipo kimya, tutegemee nani apige vita?. Ni lazima tuitahadharishe serikali juu ya intended consequences, lantent consequences na un intended consequences ya zoezi hili. Hili Taifa ni letu sote. Si la mtu mmoja mmoja kujiamulia juu ya muundo fulani wa maadili ambao ni sumu kwa Jamii ya Kitanzania.

Ni lazima utengenezwe muundo fulani wa maadili ambao utafuatwa na Jamii nzima. Hatukumbuzi kina sophist walipoiharibu ugiriki mpaka baadaye kina Socrates walipokaa chini na kuja na mfumo bora wa Jamii?. Kwanini si wafuasi wa kila mtu na lwake?.

Jamii na serikali kiujumla imekuwa iki react too slow and un professional katika masuala ya msingi. Hatufahamu kuwa huku ni sawa na kujichimbia kaburi?.

Ukienda kwa fundi nguo (Nb; si fundi cherehani) atakueleza jinsi suruali ya Mwanaume inavyopaswa kuwa. Plaizi si chini ya Inch 6, upana wa kutosha, mifuko ya kutosha nk. Si huu ujinga wa suruali za kubana za kike wanazovalishwa wavulana na kubatiza jina la model.

Hekiam Ni Uhuru.
 
mkuu ni ushoga tu na hawa wanamuziki wetu ndio nao wanacopy full sijui kama watoto watapona ic
Mi nakula oldies, vijana wananisema et napiga bwanga ila ndio kali zangu hizo. Usenge wa kuvaa visuruali vyenye flaizi fupi kama kidole siuwezi, umebanwa mwili mzima kama umetundikwa bhana hapana.
Tutapiga 501 Levi's denim na classic Tees tu till the end
 

Si bora tuvae hivo[emoji115] [emoji115] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

[emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]   [emoji100][emoji124][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Na kama watu tusipomtafuta kumjua Yesu,kupotea ni lazima,maana katika kitabu cha daniel 12,neno lasema wakati wa mwisho maarifa yataongezeka ambayo ndo kma hayo ya kutengeneza nguo za kamatia chini,ukiuliza wanadai wanaenda na wakati!!!*

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hhahahahahahahahahah
 
Ukiona una kitabia cha kuangalia makalio ya mwanaume mwenzio ujue unaelekea kuanza zalisha kisamvu ,



Cha msingi ww jiangalie fanya mitikasi yako basi
 
Usipo vaa hivi utaonekana mshamba... Ila hizi style hapana aisee duh...
Na hiki ndio haswa nilichokutana nacho dukani juzi kati..ubaya niliipenda cadet kuivaa ikawa hivyo...
Ha ha ha ha ha, i just imagined kuna mtu angekuja kuridhika nayo ndani ya huo muonekano!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…