Nguo za kulalia zinazovutia 'Night Dresses' hunogesha mahusiano

Nguo za kulalia zinazovutia 'Night Dresses' hunogesha mahusiano

Mie naitaga nguo ya mitego, mama kiduku akivaa night dress [emoji156] ananivuruga akili kabisa, ana kamzigo fulani verer vere friendly kabisa[emoji1787], mie nakiitaga kijungu kikuu kisichokosa uchokozi. Sasa ukute aliyevaa night dress ana kishundu au vichuchu vile vya saa 6,7,8 kabla jua halijaanza kuzama. [emoji39]
 
Ngoja leo nikazifukue zilipo , ulezi unatutoa kwenye mstari wakati mwingine.Kunyonyesha na vinguo vile jamani ntajikuta nabeba mimba kila mwaka.[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom