Nguo za kulalia zinazovutia 'Night Dresses' hunogesha mahusiano

Tunakuwaga watulivu Kwa muda. Kuna za bahati mbaya Mara moja halafu tunarudi home kama hakijatokea kitu.
Mimi nilisharuhusu mtu afanye analotaka, chochote kinachompendeza afanye..sitatumia nguvu nyingi kumfurahisha mtu ambaye yeye hana mpango wa kunifurahisha..nitaishi kawaida na kufanya mambo kawaida bila kujistresisha. Kama dera linamkera akaniletee night dress nzuri...
Maamuzi ni yake.
Na kama nitatafuta night dress nzuri basi ni kwaajili yangu nijisikie vizuri lkn si kwaajili ya mtu mwingine.
Binadamu haridhiki ya nini kujichosha.
Hivyo ndivyo ninavyoishi na maisha yanasonga.
Wapo wanaojikwatua lkn kutwa kulia. I won't do that
 
Ndoa ishakushinda ww
 
Wanawake huwa ndio wapiga kelele ndani, wanaume wanaopiga kelele ndani ni wa mkoa gani?
 
Picha iko wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…