This is very much acknowledged! Na diyo maana Mbowe hakuja! akijua fika kuwa siyo M/Kiti tena.
Allen Kilewella naomba unielewe. And I will stand for that! Sina tatizo na Lisu kushinda. Tatizo langu ni namna Lisu alivyoshinda! Akiwa mtu aliyetegemewa kuwa mfano bora kama alivyojitanabaisha huko nyuma.
Unawaaminisha wenzako, UMMA wa watanzania na dunia kuwa paticularly Mbowe kuwa ni MWIZI WA FEDHA ZA JOIN THE CHAIN, KALAMBA ASALI TOKA KWA SAMIA, ANASHIRIKI NUSU MKATE KUUZA CHADEMA, MLA RUSHWA MKUBWA WA FEDHA ZA ABDUL... uongo WA character assassination halafu useme yameisha tusonge mbele>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>> Fine, lazima history iandikwe matendo mabaya ya Lisu kwa Mbowe et al kwenye kampeini za uchaguzi
Kashifa zote hizo, Leo useme kuwa uchaguzi umeisha tusonge mbele? Kma una akili timamu huwezi kukubali kuwa pamoja na mtu huyo. Nitajitenga naye milele