Kabisa MkuuHao ndio wale wachumia tumbo. Huwezi enda nao vitani lazima wakuchome hata kwa bei rahisi
Pia ni muhimu wachujwe! Kuna hatari ya kukaa nyumba moja na nyokaKabisa Mkuu
Ndiyo maana tunawashauri, Uchaguzi umepita kwahiyo wakubali matokeo na kumpa ushirikiano Mwenyekiti mpya ili wafanye kazi
Ni sahihi kabisa, vinginevyo wanaweza kukigawa ChamaPia ni muhimu wachujwe! Kuna hatari ya kukaa nyumba moja na nyoka
Bila shaka ni Joyce Mukya au Irene MboweRetired kama wewe ndiyo Mbowe mwenyewe nitaelewa lakini kama siyo, basi wewe ni mchochezi unayetamani uone uhasama binafsi kati ya Mbowe na Lissu.
Wewe unaona maridhiano kati ya CCM na CHADEMA ni jambo zuri na linalowezekana. Ila maridhiano kati ya Lissu na Mbowe haiwezekani. Kwa nini?
Wewe ndo James MBOWE ambaye alidhani Cdm ni Mali ya familiaThis is very much acknowledged! Na diyo maana Mbowe hakuja! akijua fika kuwa siyo M/Kiti tena.
Allen Kilewella naomba unielewe. And I will stand for that! Sina tatizo na Lisu kushinda. Tatizo langu ni namna Lisu alivyoshinda! Akiwa mtu aliyetegemewa kuwa mfano bora kama alivyojitanabaisha huko nyuma.
Unawaaminisha wenzako, UMMA wa watanzania na dunia kuwa paticularly Mbowe kuwa ni MWIZI WA FEDHA ZA JOIN THE CHAIN, KALAMBA ASALI TOKA KWA SAMIA, ANASHIRIKI NUSU MKATE KUUZA CHADEMA, MLA RUSHWA MKUBWA WA FEDHA ZA ABDUL... uongo WA character assassination halafu useme yameisha tusonge mbele>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>> Fine, lazima history iandikwe matendo mabaya ya Lisu kwa Mbowe et al kwenye kampeini za uchaguzi
Kashifa zote hizo, Leo useme kuwa uchaguzi umeisha tusonge mbele? Kma una akili timamu huwezi kukubali kuwa pamoja na mtu huyo. Nitajitenga naye milele
Yeye mwenyewe anatoa maoni kama mpambe anaeonekana hajujipanga na ushindi wa LisuAmesema TUSITISHANE, TUVUMILIANE. TUEPUKE MACHAWA NA WAPAMBE NA WABANBAIZAJI.
Kuwa Finland haimaanishi kwamba huwezi kutaka kupata cheo bongo,Finland sio mbinguniYuko Finland , hana shida na bongo
Inategemea cheo gani na kutoka kwa naniKuwa Finland haimaanishi kwamba huwezi kutaka kupata cheo bongo,Finland sio mbinguni
Ndo hicho sasa alishaahidiwaInategemea cheo gani na kutoka kwa nani