Ngurumo: Magufuli na “maparoko wake” wana kesi ya kujibu

Ngurumo: Magufuli na “maparoko wake” wana kesi ya kujibu

Tumeisikiliza hotuba vizuri,hakuna mahala ambapo anawaswaga na kuwapelekesha mapadre na maaskofu katoliki. Rais ametoa tahadhali juu ya kutumia barakoa zinazostahili.

Mtoa mada huna lolote,endelea kuosha vgombo vya wazungu huko ughaibuni.
Nimeisikiliza, maelezo ya Ngurumo yanawakilisha kila alichokuwa akichokisema pamoja na anachokifikiri Jiwe hata jioni hii.
 
Niko mfungo wa siku 40 siangalii mitandao wala kuangalia TV wala radio nasikiliza Mungu tu nimefuatwa nyumbani nasumbuliwa kuwa ingia jamii forums ujibu kuna mtu anatuhumu kanisa

Nasema hivi kwanza askofu Ruwaichi mpotofu hata Papa hatumii simu yenye android anatumia visimu vya Nokia Tochi na nina ushahidi asilimia 100 haaangalii TV wala mitandao ya kijamii wala haingii Watsap wala instagram nina ushahidi

Hivi Askofu Ruwaichi hana kazi za kufanya kiasi cha kushinda mitandaoni kuangalia watu wanasemaje badala ya kusikiliza Mungu anasemaje? Maaskofu Katoliki sasa hivi wanashinda mitandaoni wakiwa na simu za Android kusikiliza watu wanasemaje badala ya Mungu anasemaje? Askofu Ruwaichi mpagani aliyepewa uaskofu hongera paroko na masiista ambao hamkuvaa barakoa.

Ruwaichi alisema aliona Clip mitandaoni watu wamejaa daladala hawajali kuvaa barakoa wala social distance!!! nimjibu kuwa watu wa kawaida wanaamini Ulinzi wa Mungu kuliko yeye Askofu mtegemea sadaka asiyeenda kutafuta riziki asiye na mke wa kulala naye short distance wala familia ya close distance!!! Yeye hapandi daladala na anaishi single place !! asitukane wahangaikia riziki!!!

kifupi hata waumini anachoongea wanakiona hopeless sababu hawana private car waña private residence na hawategemei survival ya sadaka kama yeye hivyo lockdown na kutojaza abiria daladala kwao kuna effect kwao kuanzia dereva kondakta mumiliki hadi abiria.

Waumini na walei akiwemo Magufuli kipindi hiki cha Corona wana imani kubwa Kuliko Askofu Ruwaichi very sad Tanzania kuwa na walei wenye imani kubwa kuliko mifarisayo miaskofu Ruwaichi Loo

Namuomba Papa amtoe Askofu Ruwaichi Uaskofu anashinda mitandao ya kijamii badala ya kumsikiliza Mungu ushahidi video ya Mazishi ya Askofu Banzi

Magufuli songa mbele achana na mifarisayo inayojitia ooh tuneitwa na Mungu Corona ikitua inakimbilia kwa wanasayansi na kuvaa barakoa!!!

Nalog out let me finish my lent

Pope Francis mpe uaskofu wa Jimbo kuu La Dar es salaam na ukardinali Magufuli
in Tanzania currently we dont have bishops who depend on God in Calamities!!

I am logging off
 
I hope askofu mkuu jimbo katoliki la Dar atazungumza na paroko wa st peter juu ya nidhamu yake.
 
Tumeisikiliza hotuba vizuri,hakuna mahala ambapo anawaswaga na kuwapelekesha mapadre na maaskofu katoliki. Rais ametoa tahadhali juu ya kutumia barakoa zinazostahili.

Mtoa mada huna lolote,endelea kuosha vgombo vya wazungu huko ughaibuni.
Barakoa zinazoingia nchini hazi stahili? mamlaka husika ya TFDA wanafanya kazi gani?
 
1613923744042.jpeg
 

Magufuli na “maparoko wake” wana kesi ya kujibu​

9fc54ddf1c471a26c146d25d3637e1a3

[/URL]
....

Inashangaza sasa kuwa huyu ambaye amekuwa anazurura kwenye makanisa kadhaa ya kilokole kwa miaka kadhaa, aliyerejeshewa ukatoliki kwa sababu za kisiasa, kwa jitihada binafsi za Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo miezi michache kabla ya uchaguzi mkuu 2015, ndiye anataka kuwa kiranja wa maaskofu wetu.

......

Aisee!

Sent from my HTC U12 life using JamiiForums mobile app
 
Rais ana shida mahala ,mara aseme corona hamna ,mara ipo,mara barakoa zina virusi wakati nchi ina TBS,TISS na TFDA tayari mpaka hapo ameharibu biashara za watu walioagiza barakoa japo walilipia kodi ...hivi sisi Tanzania tuna kipi hasa kiasi cha watu kutonea wivu watufanyie figisu au ni huo mlima wa kilimanjaro? Tanzanite? Huyu mzee ni Muongo sana tena anongopa mbele ya madhabahu ya kanisa.
Uchumi wa Kati umemdodea na amekosa ubunifu wa kuufufua na ama kuukuza!

Ataambia Nini watu juu ya Hali mbaya ya uchumi?
 
Akiongozwa na roho wa shetani leo Jiwe katika hotuba yake kazungumzia namna Yesu alivyojaribiwa na shetani kwa siku arobaini, katika Majaribu hayo shetani alimshawishi Yesu ajirushe chini, Yesu akamgomea kwa kumuambia maandiko yanakataza Kumjaribu Mungu.

Hapo hapo tena, Jiwe akaanza kushawishi watu wamjaribu Mungu kwa kuzurura hovyo wakinusanusa virusi vya korona, huku wakimtumaini Mungu kuwalinda.
 
Tumeisikiliza hotuba vizuri, hakuna mahala ambapo anawaswaga na kuwapelekesha mapadre na maaskofu katoliki. Rais ametoa tahadhali juu ya kutumia barakoa zinazostahili.

Mtoa mada huna lolote,endelea kuosha vgombo vya wazungu huko ughaibuni.
Acha uzwazwa, kipande ulichowekewa na Msigwa kimeficha pumba alizoongea unayejaribu kumtetea.
 
Tumeisikiliza hotuba vizuri,hakuna mahala ambapo anawaswaga na kuwapelekesha mapadre na maaskofu katoliki. Rais ametoa tahadhali juu ya kutumia barakoa zinazostahili.

Mtoa mada huna lolote,endelea kuosha vgombo vya wazungu huko ughaibuni.
We ni mpuuzi Kama wapuuzi wengine. Kuosha vyombo kuna uhusiano gani na hoja inayojadiliwa?

Magufuli anatumia neno la Mungu kupotisha watu, sawa na shetani alivyomjaribu Yesu kwa kutumia neno la Mungu.

Hata hiyo Aya kuwa yeyote atakayetaka kuiokoa nafsi yake ataipoteza, ameitumia katika namna isiyo sahihi hata kidogo.

Yesu alilisema neno hilo, akimaanisha wake watakao kiogopa kifo na kuikana imani yao ili kuiokoa maisha yao. Sasa anapoutoa nukuu hiyo kwenye corona, anamaanisha Corona ni imani tunayotakiwa kuifuata?
 
Back
Top Bottom