Man in the Middle
JF-Expert Member
- Feb 26, 2019
- 486
- 1,034
Yani bro sioni hoja ata moja mkuu umepanic sana, punguza hasira edit hoja zako.Niko mfungo wa siku 40 siangalii mitandao wala kuangalia TV wala radio nasikiliza Mungu tu nimefuatwa nyumbani nasumbuliwa kuwa ingia jamii forums ujibu kuna mtu anatuhumu kanisa
Nasema hivi kwanza askofu Ruwaichi mpotofu hata Papa hatumii simu yenye android anatumia visimu vya Nokia Tochi na nina ushahidi asilimia 100 haaangalii TV wala mitandao ya kijamii wala haingii Watsap wala instagram nina ushahidi
Hivi Askofu Ruwaichi hana kazi za kufanya kiasi cha kushinda mitandaoni kuangalia watu wanasemaje badala ya kusikiliza Mungu anasemaje? Maaskofu Katoliki sasa hivi wanashinda mitandaoni wakiwa na simu za Android kusikiliza watu wanasemaje badala ya Mungu anasemaje? Askofu Ruwaichi mpagani aliyepewa uaskofu hongera paroko na masiista ambao hamkuvaa barakoa.
Ruwaichi alisema aliona Clip mitandaoni watu wamejaa daladala hawajali kuvaa barakoa wala social distance!!! nimjibu kuwa watu wa kawaida wanaamini Ulinzi wa Mungu kuliko yeye Askofu mtegemea sadaka asiyeenda kutafuta riziki asiye na mke wa kulala naye short distance wala familia ya close distance!!! Yeye hapandi daladala na anaishi single place !! asitukane wahangaikia riziki!!!
kifupi hata waumini anachoongea wanakiona hopeless sababu hawana private car waña private residence na hawategemei survival ya sadaka kama yeye hivyo lockdown na kutojaza abiria daladala kwao kuna effect kwao kuanzia dereva kondakta mumiliki hadi abiria.
Waumini na walei akiwemo Magufuli kipindi hiki cha Corona wana imani kubwa Kuliko Askofu Ruwaichi very sad Tanzania kuwa na walei wenye imani kubwa kuliko mifarisayo miaskofu Ruwaichi Loo
Namuomba Papa amtoe Askofu Ruwaichi Uaskofu anashinda mitandao ya kijamii badala ya kumsikiliza Mungu ushahidi video ya Mazishi ya Askofu Banzi
Magufuli songa mbele achana na mifarisayo inayojitia ooh tuneitwa na Mungu Corona ikitua inakimbilia kwa wanasayansi na kuvaa barakoa!!!
Nalog out let me finish my lent
Pope Francis mpe uaskofu wa Jimbo kuu La Dar es salaam na ukardinali Magufuli
in Tanzania currently we dont have bishops ho depend on God in Calamities!!
I am logging off