Volatility
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 3,935
- 7,513
Nimeisikiliza, maelezo ya Ngurumo yanawakilisha kila alichokuwa akichokisema pamoja na anachokifikiri Jiwe hata jioni hii.Tumeisikiliza hotuba vizuri,hakuna mahala ambapo anawaswaga na kuwapelekesha mapadre na maaskofu katoliki. Rais ametoa tahadhali juu ya kutumia barakoa zinazostahili.
Mtoa mada huna lolote,endelea kuosha vgombo vya wazungu huko ughaibuni.
Pumba tupu, atamdangaya nani? Muosha vyombo vya wazungu. Labda weweNimeisikiliza, maelezo ya ngurumo yanawakilisha kila alichokuwa akichokisema pamoja na anachokifikiri Jiwe hata jioni hii.
Barakoa zinazoingia nchini hazi stahili? mamlaka husika ya TFDA wanafanya kazi gani?Tumeisikiliza hotuba vizuri,hakuna mahala ambapo anawaswaga na kuwapelekesha mapadre na maaskofu katoliki. Rais ametoa tahadhali juu ya kutumia barakoa zinazostahili.
Mtoa mada huna lolote,endelea kuosha vgombo vya wazungu huko ughaibuni.
Ikiwezekana ampeleke Jimbo la Karagwe!I hope askofu mkuu jumbo katoliki la Dar atazungumza na paroko wa st peter juu ya nidhamu yake
Unajua maana ya kupewa tahadhali?barakoa zinazoingia nchini hazi stahili? mamlaka husika ya TFDA wanafanya kazi gani?
Mkimbizi!Hapana Kalpana si mimi niliyeandika. Mimi nimeiweka tu hapa aliyeandika ni Ansbert Ngurumo.
Magufuli na “maparoko wake” wana kesi ya kujibu
[/URL]
....
Inashangaza sasa kuwa huyu ambaye amekuwa anazurura kwenye makanisa kadhaa ya kilokole kwa miaka kadhaa, aliyerejeshewa ukatoliki kwa sababu za kisiasa, kwa jitihada binafsi za Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo miezi michache kabla ya uchaguzi mkuu 2015, ndiye anataka kuwa kiranja wa maaskofu wetu.
......
Uchumi wa Kati umemdodea na amekosa ubunifu wa kuufufua na ama kuukuza!Rais ana shida mahala ,mara aseme corona hamna ,mara ipo,mara barakoa zina virusi wakati nchi ina TBS,TISS na TFDA tayari mpaka hapo ameharibu biashara za watu walioagiza barakoa japo walilipia kodi ...hivi sisi Tanzania tuna kipi hasa kiasi cha watu kutonea wivu watufanyie figisu au ni huo mlima wa kilimanjaro? Tanzanite? Huyu mzee ni Muongo sana tena anongopa mbele ya madhabahu ya kanisa.
Acha uzwazwa, kipande ulichowekewa na Msigwa kimeficha pumba alizoongea unayejaribu kumtetea.Tumeisikiliza hotuba vizuri, hakuna mahala ambapo anawaswaga na kuwapelekesha mapadre na maaskofu katoliki. Rais ametoa tahadhali juu ya kutumia barakoa zinazostahili.
Mtoa mada huna lolote,endelea kuosha vgombo vya wazungu huko ughaibuni.
We ni mpuuzi Kama wapuuzi wengine. Kuosha vyombo kuna uhusiano gani na hoja inayojadiliwa?Tumeisikiliza hotuba vizuri,hakuna mahala ambapo anawaswaga na kuwapelekesha mapadre na maaskofu katoliki. Rais ametoa tahadhali juu ya kutumia barakoa zinazostahili.
Mtoa mada huna lolote,endelea kuosha vgombo vya wazungu huko ughaibuni.