Ngurumo: Magufuli na “maparoko wake” wana kesi ya kujibu

Tayari mmeanza kejeli kwa maaskofu. Kumbe utabiri wa Ngrurumo ni wa kweli!
 
Hutoacha kuwa nguchiro mpk unaingia kaburin
Tumeisikiliza hotuba vizuri,hakuna mahala ambapo anawaswaga na kuwapelekesha mapadre na maaskofu katoliki. Rais ametoa tahadhali juu ya kutumia barakoa zinazostahili.

Mtoa mada huna lolote,endelea kuosha vgombo vya wazungu huko ughaibuni.
 
We mwehu c ukisema hutoingia jf.kwa kuwa upo ktk huo mfungo feki??,?
 
Labda tuzidi kumuombea ukengeufu huu uje kwenye ukomo.. kwa nguvu zetu pekee hazitoshi
 
Anasema eti tatizo tupo kwenye vita ya kiuchumi
 
Sasa, kama yeye anamtumaini Mungu ambaye anaona wengine hawamtumaini ipasavyo, kwanini analindwa na majeshi kila aendapo, tena wakati mwingine wakiwa na silaha za kijeshi na helikopta?

🤣🤣🤣✔✔

Mungu huyu anayetuelekeza ameshindwa kumlinda yeye? Kwanini rais anaona fahari kuongopea Watanzania? Kwanini hapendi wajilinde? Anapata faida au furaha gani wao wakipoteza uhai – tena kizembe? Kwanini anaumia wao wanapojilinda?

🤣🤣🤣✔✔✔

Saba, wakati Magufuli anataja nchi nyingine ambazo raia wake wamekufa kwa wingi, anatumia takwimu ambazo nchi hizo zimeweka wazi kama inavyotakiwa. Anataka kutuhadaa kuwa kwa kuwa sisi hatutangazi takwimu, basi watu wetu hawaugui wala hawafi.

✔✔✔✔

Lakini kimsingi tumepoteza wananchi wengi sana. Kuficha takwimu hakuwafufui wala hakumfanyi yeye kuwa kiongozi mungwana. Sana sana rais anaonekana ni mtu asiyejali uhai wa wenzake.


✔✔✔✔

Tayari amepoteza hata washauri na wasaidizi wake waandamizi – watu wake wa karibu. Yeye bado anasema “tupo salama.” Nani afe ndipo Magufuli ashtuke?

✔✔✔



✔✔✔✔
 


Je atasoma hii habari???!
 
Maaskofu hawatakaa bila kudharauliwa maadam wamegawanyika kwa hilo waitalo chaguo la nini nini..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…