Ngurumo za radi kubwa Dar es Salaam

Ngurumo za radi kubwa Dar es Salaam

Hawa chadema wanamatatizo hadi mtu anatembea anajinyea wanamwita kamanda
Hujasahau walipokuwa wanakuita hivyo kipindi kile unaumwa? 😂😂😂 Uli wa mind sana mpaka leo unakumbuka. Wasamehe tu walikuwa wanakujaza ujinga, wanakutia moyo.
 
kuna majitu hayajui usalama wa nchi.
 
Juzi usku inemlika kinoma noma mpak sio poa huku kinyerezi.
 
Kwahiyo ni radi na mvua au ni radi bila mvua,maana mbaya ni zile zinazopiga lakini hakuna mvua,kunakuwa tu kuna wingu limetanda halafu radi inapiga...
 
Huku Wazo imepiga moja hiyo....nahisi imepiga mti maana kulikuwa na sauti ya kitu kuanguka!
Scary sh!t.

I wish watoto wasingekuwa wameenda shule 😒😒
Watoto uliwavalisha nguo nyekundu?!! Ni hatari sana 😀 😀 😀
 
Ni balaa...

Hakuna kitu kinaniogopesha kama hizi mambo. Nimejikuta uvunguni mwa kitanda [emoji23]
Hahahaaa... umenikumbusha bosi wangu mmoja mwanamama alikua mkali kama pilipili ofisini. Siku hiyo tuko kwenye kikao na wageni kibao mvua imenyesha ikatandika radi moja iliyojazwa na kusukwa sukwa, tunakuja kumtafuta bosi hatumuoni, kiti kipo empty! Baadae sana ndio tunamkuta chini ya meza kaziba macho na masikio anatetemeka kama kifaranga cha kuku 😂
 
Back
Top Bottom