Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,009
- 60,629
Umenikumbusha tulivyokuwa tunaambiwa back in the days. Basi kama umevaa/umebeba kitu cha red unaogopa balaa😁😁😁Watoto uliwavalisha nguo nyekundu?!! Ni hatari sana 😀 😀 😀
Naah.. hawajavaa red ila nakosa tu amani vile hawapo nyumbani na hii hali 😒😒