Mwana Mapambano hujui kutofautisha kati ya radi na kombora?Ngurumo za radi kubwa Dar es salaam
Wana dar es salaam hizo ni radi au makambora maana sisi wana mapambano tunawasiwasi
Hawa chadema wanamatatizo hadi mtu anatembea anajinyea wanamwita kamandaMwana Mapambano hujui kutofautisha kati ya radi na kombora?
Huyu wa kwenu huko mkoani kaja kumsalimia shemeji yake ndio maana hajui radi za huku zinaliaje.Wanaume wa Dar mnaogopa ngurumo za Radi
Hujasahau walipokuwa wanakuita hivyo kipindi kile unaumwa? πππ Uli wa mind sana mpaka leo unakumbuka. Wasamehe tu walikuwa wanakujaza ujinga, wanakutia moyo.Hawa chadema wanamatatizo hadi mtu anatembea anajinyea wanamwita kamanda
Mbezi beach huku ni balaa
Watoto uliwavalisha nguo nyekundu?!! Ni hatari sana π π πHuku Wazo imepiga moja hiyo....nahisi imepiga mti maana kulikuwa na sauti ya kitu kuanguka!
Scary sh!t.
I wish watoto wasingekuwa wameenda shule ππ
Pole sana.Ni balaa...
Hakuna kitu kinaniogopesha kama hizi mambo. Nimejikuta uvunguni mwa kitanda [emoji23]
Hahahaaa... umenikumbusha bosi wangu mmoja mwanamama alikua mkali kama pilipili ofisini. Siku hiyo tuko kwenye kikao na wageni kibao mvua imenyesha ikatandika radi moja iliyojazwa na kusukwa sukwa, tunakuja kumtafuta bosi hatumuoni, kiti kipo empty! Baadae sana ndio tunamkuta chini ya meza kaziba macho na masikio anatetemeka kama kifaranga cha kuku πNi balaa...
Hakuna kitu kinaniogopesha kama hizi mambo. Nimejikuta uvunguni mwa kitanda [emoji23]