Dr Lizzy Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 31,009 Reaction score 60,629 Feb 9, 2021 #21 RRONDO said: Watoto uliwavalisha nguo nyekundu?!! Ni hatari sana π π π Click to expand... Umenikumbusha tulivyokuwa tunaambiwa back in the days. Basi kama umevaa/umebeba kitu cha red unaogopa balaaπππ Naah.. hawajavaa red ila nakosa tu amani vile hawapo nyumbani na hii hali ππ
RRONDO said: Watoto uliwavalisha nguo nyekundu?!! Ni hatari sana π π π Click to expand... Umenikumbusha tulivyokuwa tunaambiwa back in the days. Basi kama umevaa/umebeba kitu cha red unaogopa balaaπππ Naah.. hawajavaa red ila nakosa tu amani vile hawapo nyumbani na hii hali ππ
B Bulesi Platinum Member Joined May 14, 2008 Posts 14,275 Reaction score 13,929 Feb 9, 2021 #22 Heaven on Earth said: Ni balaa... Hakuna kitu kinaniogopesha kama hizi mambo. Nimejikuta uvunguni mwa kitanda [emoji23] Click to expand... Wewe mwoga tu; unaweza kukimbia hata kivuli chako!!
Heaven on Earth said: Ni balaa... Hakuna kitu kinaniogopesha kama hizi mambo. Nimejikuta uvunguni mwa kitanda [emoji23] Click to expand... Wewe mwoga tu; unaweza kukimbia hata kivuli chako!!